Pale ni salama kuliko popote nchiniMKASI USITUMIKE KUZINDUA KAMA INAVYOONEKANA KTK PICHA ILE NI SILAHA
UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243
Ungekuwa ulipita mafunzo ya kijeshi hata JKT tu ungeelewa ugumu wa kuufikia ule mkasi kwa mtu ambaye hakupangwatatizo wewe ni poyoyo hivi unafikiri kupokonya ile mashine na kupokonya huo mkasi kipi rahisi, aliyeshika mashine ni mwenye ujuzi aliye shika huo mkasi hana ujuzi yaani unaunyakua kwa dk 1 umewahi kuona hiyo mikasi baada ya kuchukuliwa inawekwa wapi?
Assassination haifanywi na mazuzuUngekuwa ulipita mafunzo ya kijeshi hata JKT tu ungeelewa ugumu wa kuufikia ule mkasi kwa mtu ambaye hakupangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wa kumdhuru mkuu wa nchi? Rais anafanya maamuzi magumu sana kwa kuangalia maslahi mapana ya nchi. Kwa kufanya hivyo anatengeneza maadui wengi ndani na nje ya nchi. Nikupe mfano. Uamuzi wa kupanua barabara kuanzia kimara hadi kibaha njia nane na mwendo kasi kupunguza foleni ni uamuzi mzuri lakini hapo hapo kuna familia maelfu wamebomolewa nyumba zao na uenda hizo familia hazitakuja miliki nyumba kamwe kwa usawa huu. Sasa niambie eti Rais atembee bila ulinzi!!!!Rais wa africa hata wote wakiamua kukimbia mchakamchaka kwa pamoja hakuna wa kuwadhuru
Mambo ya Rais kuuwawa ni ya zamani sana na yalikuwa na malengo yao
Hakuna wa kudhuru siku hizi maana ni tactic za zamani kwa maslahi fulani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Siyo vibaya hata akikata na menoaliyekuambia anataka kukimbia nani?
Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Hizo zote zinakuwaga mbwembwe tu..hawana lolote...kuna mwingine juzi kati hapahapa africa lilipigwa bomu akati anashuka kwenye jukwaa wote wakatawanyika..hakuna cha komandoo wala nani aliyebaki...nilicheka sana kumbe wote tunaogopaga vifoHivi ni Mimi peke yangu ndo sijakuelewa au!
Hivi u nadhani mtu anaweza kutumia huo mkasi mpaka akamdhuru rais wakati wapo wapo hao wengine wenye mashine wamemzunguka?
Juzi nilishuhudia huyo Jamaa aliuchukua huo mkasi akampa mwingine aliyekuwa mbali ila ilikua ni shughuli ya fasta ni sawa na akisimamishwa njiani wakimaliza kuongea ..angakia ile maiki inavukuliwa fasta!
Usalama wa Rais ni lazima na kweli ana maadui wa kila ainaHakuna wa kumdhuru mkuu wa nchi? Rais anafanya maamuzi magumu sana kwa kuangalia maslahi mapana ya nchi. Kwa kufanya hivyo anatengeneza maadui wengi ndani na nje ya nchi. Nikupe mfano. Uamuzi wa kupanua barabara kuanzia kimara hadi kibaha njia nane na mwendo kasi kupunguza foleni ni uamuzi mzuri lakini hapo hapo kuna familia maelfu wamebomolewa nyumba zao na uenda hizo familia hazitakuja miliki nyumba kamwe kwa usawa huu. Sasa niambie eti Rais atembee bila ulinzi!!!!
😂😂😂😂😂Hizo zote zinakuwaga mbwembwe tu..hawana lolote...kuna mwingine juzi kati hapahapa africa lilipigwa bomu akati anashuka kwenye jukwaa wote wakatawanyika..hakuna cha komandoo wala nani aliyebaki...nilicheka sana kumbe wote tunaogopaga vifo
Hizo zote zinakuwaga mbwembwe tu..hawana lolote...kuna mwingine juzi kati hapahapa africa lilipigwa bomu akati anashuka kwenye jukwaa wote wakatawanyika..hakuna cha komandoo wala nani aliyebaki...nilicheka sana kumbe wote tunaogopaga vifo
Kwenye huo utepe akiwekewa sumu?aliyekuambia anataka kukimbia nani?
Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Hahaah sijui ndo huyohuyo..but ni rahisi wa hapahapa africa....hao mnaowaitaga makomandoo wa kupasua matofali kwa kichwa walitoka mbio sana
Hyo n ngumu sana mara nyingi wanaohusika na kuandaa hzo shughuli n watu wa usalama na usalama co wale tu ambao anatembea nao bali hata wale ambao wanakua huko anakoenda xo kila kitu kinaratibiwa vzr
Hahaah sijui ndo huyohuyo..but ni rahisi wa hapahapa africa....hao mnaowaitaga makomandoo wa kupasua matofali kwa kichwa walitoka mbio sana
aliyekuambia anataka kukimbia nani?
Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Hapana hakudhurika aliponea chupuchupu..mi walinichekesha tu walivyotimua mbio..ukiwakuta wanavyotanua vifua wakati wanamlinda na hatari ikitokea mbio wanazotimua kwa uoga ni vitu viwili tofauti
Hapana hakudhurika aliponea chupuchupu..mi walinichekesha tu walivyotimua mbio..ukiwakuta wanavyotanua vifua wakati wanamlinda na hatari ikitokea mbio wanazotimua kwa uoga ni vitu viwili tofauti