Hivi haiwezekani kukata utepe kwa mkono, usalama wa Rais ni mdogo sana ile ni silaha kwa adui...

tatizo wewe ni poyoyo hivi unafikiri kupokonya ile mashine na kupokonya huo mkasi kipi rahisi, aliyeshika mashine ni mwenye ujuzi aliye shika huo mkasi hana ujuzi yaani unaunyakua kwa dk 1 umewahi kuona hiyo mikasi baada ya kuchukuliwa inawekwa wapi?
Ungekuwa ulipita mafunzo ya kijeshi hata JKT tu ungeelewa ugumu wa kuufikia ule mkasi kwa mtu ambaye hakupangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa africa hata wote wakiamua kukimbia mchakamchaka kwa pamoja hakuna wa kuwadhuru
Mambo ya Rais kuuwawa ni ya zamani sana na yalikuwa na malengo yao
Hakuna wa kudhuru siku hizi maana ni tactic za zamani kwa maslahi fulani

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hakuna wa kumdhuru mkuu wa nchi? Rais anafanya maamuzi magumu sana kwa kuangalia maslahi mapana ya nchi. Kwa kufanya hivyo anatengeneza maadui wengi ndani na nje ya nchi. Nikupe mfano. Uamuzi wa kupanua barabara kuanzia kimara hadi kibaha njia nane na mwendo kasi kupunguza foleni ni uamuzi mzuri lakini hapo hapo kuna familia maelfu wamebomolewa nyumba zao na uenda hizo familia hazitakuja miliki nyumba kamwe kwa usawa huu. Sasa niambie eti Rais atembee bila ulinzi!!!!
 
aliyekuambia anataka kukimbia nani?

Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Siyo vibaya hata akikata na meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni Mimi peke yangu ndo sijakuelewa au!
Hivi u nadhani mtu anaweza kutumia huo mkasi mpaka akamdhuru rais wakati wapo wapo hao wengine wenye mashine wamemzunguka?

Juzi nilishuhudia huyo Jamaa aliuchukua huo mkasi akampa mwingine aliyekuwa mbali ila ilikua ni shughuli ya fasta ni sawa na akisimamishwa njiani wakimaliza kuongea ..angakia ile maiki inavukuliwa fasta!
Hizo zote zinakuwaga mbwembwe tu..hawana lolote...kuna mwingine juzi kati hapahapa africa lilipigwa bomu akati anashuka kwenye jukwaa wote wakatawanyika..hakuna cha komandoo wala nani aliyebaki...nilicheka sana kumbe wote tunaogopaga vifo
 
Hakuna wa kumdhuru mkuu wa nchi? Rais anafanya maamuzi magumu sana kwa kuangalia maslahi mapana ya nchi. Kwa kufanya hivyo anatengeneza maadui wengi ndani na nje ya nchi. Nikupe mfano. Uamuzi wa kupanua barabara kuanzia kimara hadi kibaha njia nane na mwendo kasi kupunguza foleni ni uamuzi mzuri lakini hapo hapo kuna familia maelfu wamebomolewa nyumba zao na uenda hizo familia hazitakuja miliki nyumba kamwe kwa usawa huu. Sasa niambie eti Rais atembee bila ulinzi!!!!
Usalama wa Rais ni lazima na kweli ana maadui wa kila aina
Lakini yale mauwaji ya zamani tuliyokuwa tunashuhudia ya kina Bandaranaike na kina Saddat au Gandhi na Rajiv hayapo tena
Hiyo ndio ilikuwa maana yangu

Unapomuona Kenyatta amepanda train kwa kushtukiza hayuko peke yake

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hizo zote zinakuwaga mbwembwe tu..hawana lolote...kuna mwingine juzi kati hapahapa africa lilipigwa bomu akati anashuka kwenye jukwaa wote wakatawanyika..hakuna cha komandoo wala nani aliyebaki...nilicheka sana kumbe wote tunaogopaga vifo
😂😂😂😂😂
 
aliyekuambia anataka kukimbia nani?

Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Kwenye huo utepe akiwekewa sumu?

Sahihi wafunge hizo ribbon kwa style ambayo mkuu anavuta tuu kikamba,
 
Hapana hakudhurika aliponea chupuchupu..mi walinichekesha tu walivyotimua mbio..ukiwakuta wanavyotanua vifua wakati wanamlinda na hatari ikitokea mbio wanazotimua kwa uoga ni vitu viwili tofauti

tanzania nchi ya AMANI
ufisadi ndio utaharibu AMANI
siasa haiwezi haribu AMANI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom