sawa mi ni dogo ,,, umepuliza la wapi bila kunywa chai ndugu
unachofikiria pumba tupu ,wewe unafikiri walio tumbiliwa wote wale,na wapiga dili hewa hakuna mwenye kinyongo na RAIS WETU ,Mbona hujiulizi kwenye ziara na mikutano na sherehe za jamhuri si kuna watu wa mataifa mbalimbali wanaweza kumtungua tu fasta, watu hawana hayo mawazo kwasababu maraisi wa africa wengi hawapo "critical to affect the world politically or economically" hadi wawe assassinated. Ambao waliokuwa assassinated walifanyiwa hivyo mainly na mataifa ya nje yaliyokuwa na maslahi makubwa na nchi, km ukoloni flani hivi, ila in tanzania we are good to go, raisi anaweza hata akakaa coco beach akiamua na akawa fresh tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaongelea nini mkuu...Nilifikiri mnaongelea bikra
Hizi tepe za kuzinduazinduaKwani wanaongelea nini mkuu...
Hivi huyo aliyembele ya huo utepe ndo kajaza nn tumbon maan naona kama tumbo lmegawanyika hv kamzd had olesendeka aiseeeUNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243
Duhuyo bonge alivokaa ivo yani ukithubutu kupeleka Mkono wako opposite direction na kitendo tarajiwa tayari unajikuta kitengo cha ICU ndani ya Dk 0
Sent using Jamii Forums mobile app
.. Huyo ni Bodyguard kweli...???UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243
Tu assume bonge ni mwepesi zaidi ya samo hang wa the eastern condos.
Kitambi cha shibe na zoezi. Sio mafuta na ngano hicho. Hivyo ni mwepesi kuliko unavyofikiri.Hivi huyo aliyembele ya huo utepe ndo kajaza nn tumbon maan naona kama tumbo lmegawanyika hv kamzd had olesendeka aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kamba akishakata inafichwa balaa chini ya usimamizi wa usalama wa taifa huwezi ipata.Na sisi wala panya tukiipata tayari ni malighafi.UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243
Wale wanakuwa maroboti hawana uwezo wa kujiamuliaKama ni hivyo hatupaswi hata kuwaamini wale walinzi wanaosimama na mitutu kumlinda mzee baba.
Mana mlinzi mmoja anaweza akajitoa ufahamu akamshuti
NIMECHEKA KWA SAUTIMKASI USITUMIKE KUZINDUA KAMA INAVYOONEKANA KTK PICHA ILE NI SILAHA
UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243
mkuu kwanini huwa haizagai tena hiyo kamba! na kwa vipi yaweza kuwa malighafi!?Hiyo kamba akishakata inafichwa balaa chini ya usimamizi wa usalama wa taifa huwezi ipata.Na sisi wala panya tukiipata tayari ni malighafi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi kuzagaa kamwe kwa sababu hata wao wanajua kila anapokanyaga rais kuna watu nyuma huwa wanafuta alama za miguu.mkuu kwanini huwa haizagai tena hiyo kamba! na kwa vipi yaweza kuwa malighafi!?
Boss tumeshamaliza kusoma riwaya ya Urithi wa gaidi, weka dude lingine basiHiyo mikasi wanapewaga watoto chini ya miaka 7 na mara nyingi huwa ni wa kike.
Usidhani unaakili kuliko jopo zima la PSU