Hivi haiwezekani kukata utepe kwa mkono, usalama wa Rais ni mdogo sana ile ni silaha kwa adui...

Mbona hujiulizi kwenye ziara na mikutano na sherehe za jamhuri si kuna watu wa mataifa mbalimbali wanaweza kumtungua tu fasta, watu hawana hayo mawazo kwasababu maraisi wa africa wengi hawapo "critical to affect the world politically or economically" hadi wawe assassinated. Ambao waliokuwa assassinated walifanyiwa hivyo mainly na mataifa ya nje yaliyokuwa na maslahi makubwa na nchi, km ukoloni flani hivi, ila in tanzania we are good to go, raisi anaweza hata akakaa coco beach akiamua na akawa fresh tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
unachofikiria pumba tupu ,wewe unafikiri walio tumbiliwa wote wale,na wapiga dili hewa hakuna mwenye kinyongo na RAIS WETU ,
 
Rais wa africa hata wote wakiamua kukimbia mchakamchaka kwa pamoja hakuna wa kuwadhuru
Mambo ya Rais kuuwawa ni ya zamani sana na yalikuwa na malengo yao
Hakuna wa kudhuru siku hizi maana ni tactic za zamani kwa maslahi fulani


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
mkuu kwanini huwa haizagai tena hiyo kamba! na kwa vipi yaweza kuwa malighafi!?
Haiwezi kuzagaa kamwe kwa sababu hata wao wanajua kila anapokanyaga rais kuna watu nyuma huwa wanafuta alama za miguu.
Inakuwa malighafi nzuri sana.Sayansi ya jadi ni pana sana na huwezi kuielewa hata uelekezwe vipi ule ni uganga na uchawi sasa kuwa verified scientifically ni kazi sana.Amini hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom