aliyekuambia anataka kukimbia nani?
aliyekuambia anataka kukimbia nani soma vizuri au hujaeleza MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kakkatumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwa nini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disponsable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
very dangerous bado siamini hapo kuna waandishi wa habari na wengine wengi tuAcha wakate kwa mkasi, ndo inaleta maana zaidi, utepe wa silk unaukataje kwa mkono, jaribu siku moja afu ndo ujiulize yeye atawezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujiulizi kwenye ziara na mikutano na sherehe za jamhuri si kuna watu wa mataifa mbalimbali wanaweza kumtungua tu fasta, watu hawana hayo mawazo kwasababu maraisi wa africa wengi hawapo "critical to affect the world politically or economically" hadi wawe assassinated. Ambao waliokuwa assassinated walifanyiwa hivyo mainly na mataifa ya nje yaliyokuwa na maslahi makubwa na nchi, km ukoloni flani hivi, ila in tanzania we are good to go, raisi anaweza hata akakaa coco beach akiamua na akawa fresh tu.very dangerous bado siamini hapo kuna waandishi wa habari na wengine wengi tu
Yaani unaogopa mkasi wakati kuna watu wameshika mashine za hatari nyuma ya rais? Sema wewe ni mhaini unahamasisha watu wamdhuru rais kutumia mkasi.aliyekuambia anataka kukimbia nani?
Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disponsable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
tatizo wewe ni poyoyo hivi unafikiri kupokonya ile mashine na kupokonya huo mkasi kipi rahisi, aliyeshika mashine ni mwenye ujuzi aliye shika huo mkasi hana ujuzi yaani unaunyakua kwa dk 1 umewahi kuona hiyo mikasi baada ya kuchukuliwa inawekwa wapi?Yaani unaogopa mkasi wakati kuna watu wameshika mashine za hatari nyuma ya rais? Sema wewe ni mhaini unahamasisha watu wamdhuru rais kutumia mkasi.
Mkasi? Kiaje umteke namitutu yote ilealiyekuambia anataka kukimbia nani?
Soma vizuri au hujaelewa MADA yangu ni kwamba wanaweza kuimarisha ulinzi 100% lakini kale kamkasi kanaweza tumika kumteka Rais wote wakaamuliwa kushusha silaha chini, so kwanini utumike mkasi kama haiwezekani kuweka disposable , nataka Rais wangu akate kwa kuvuta tu ule utepe najua nguvu anazo Baba J
Huyo jamaa hapo anaonekana yupo vizuri kwa lolotee kitambi chepesi hicho kinaitwaUNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
View attachment 1069243