hata mie najiulizaga nina nini kwenye huu ubongo!!
Eti mabinti wavuta bangi ππππNina uzoefu mdogo na mabinti wavuta bangi, wako free na halisi mno.
Na huwa hawapendi kupelekeshwa, only convicing power ndio huwaweza not kuwafosi.
Lakini wanaudhaifu flani kule kwa wakubwa.
Prayer?we solve almost everything with prayers
Nilitaka kujibu kitu kama hiki, lakini nikaona kama nitakosa heshima hivi.Boredom comes from a boring mind. When people are bored, it is primarily with their own selves that they are bored.
Ushauri bora kabisa huu wallahi. Dina banaKuwa karibu na bwanaako akukaze ndio dawa
Kuna muda hata mi huwa nakuwa hivyoo
Tatizo hakuna vacation ndio inachangia pia jaribu kusafiri upumzike
I second thisNikitaka kujibu kitu kama hiki, lakini nikaona kama nitakosa heshima hivi.
Mtu creative anaweza kufanya mambo mengi interesting, hata kwenye sehemu ambayo hakutarajiwa.
Mimi nafanya kazi kutoka nyumbani tangu March, lakini wala sioni kwamba nyumbani pamenichosha.
Kwa sababu kati ya kazi, movies, documentaries, vitabu, kujifunza computer programming, kujifunza kupiga nyimbo mpya kwenye piano, JF, ku organise data kwenyeNAS na servers zangu, muziki, online shopping, kufanya mazoezi, kuwajukia hali familia, etc, hivi naanza wapi kuwa bored?
Siwezi kuwa bored, tatizo langu sina muda wa kufanya kila ninalotaka.
Ila nakubqmali kwamba watu wote hatuko sawa.
It depends brotherPrayer?
"Prayers works like Placebos ", says Titicomb .
"The placebo effect is a way for your brain to tell the body what it needs to feel better," says Kaptchuk.
"Placebos may make you feel better, but they will not cure you," says Kaptchuk.
"They have been shown to be most effective for conditions like pain management, stress-related insomnia, and cancer treatment side effects like fatigue and nausea.", says Kaptchuk.
Mimi nimekupata vizuri sana.It depends brother
I'm not one of those who pray regulary but i believe in the strength of prayers.
There was a time nilikuwa deep na naweza kulinganisha na siku nilipotumia akili na nguvu zangu mwenyewe.. Najua difference
But i still respect where you stand, Naelewa hakuna nature wala existence without diversity so, its understandable
Mimi nimekupata vizuri sana.
Pale ulinigusa sana..Nilikuwa nakazia tu hoja yako.
Kwamba naona sala siyo tiba(suluhisho) ya kila changamoto zinazotukabili, kuna sehemu zipo njia sahihi zaidi ya sala.
Sala ni kama kitu cha kuleta faraja tu kwa mtu aliye kata tamaa au aliyekosa majibu, ni vile anamrushia mzigo Mungu.
Umepiga mulemule brother kuhusu tabia zetu waafrika wengi..
Sisemi kwamba sala siyo muhimu Bali siyo kila tatizo linatatuliwa na sala wakati Mungu katupa akili, nguvu na maarifa ya kutatulia matatizo yetu.