Hivi GPA ya 3.5 inabana mpaka wanaotaka kujiunga O.U.T?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Naomba kujua kama mtu anataka kusoma degree kupitia chuo kikuu huria hivi kigezo cha kuwa na GPA ya 3.5 inahusika nako au la?.

Asante
 
kama ulikua na sifa kabla ya zama hizi na ulizikalia sasa ndo utaisoma namba vizuri
 
Back
Top Bottom