Hivi Golikipa Ter Stegen namuona peke yangu?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,414
6,575
Kwasasa huyu ndio kipa anayenikosha kwa uwezo wake mkuu wa kupangua mashuti ya timu pinzani yanayoelekezwa langoni kwake.

Kwa msimu sidhani kama ana mpinzani katika kuzuia mashuti, ni wakati sasa wa Joachim Loew kumweka benchi Manuel Neuer katika timu ya taifa na kumpa nafasi Ter Stegen aliye katika ubora wa pekee yake.
 
Yuko vizuri sana na ana jitihada.. Ila Atletico Madrid wana bahati ya kupata magoli kipa wazuri na straikers.. Mtazame Oblak ndio ana clean sheets nyingi Laliga kwa sasa.. Kuliko kipa wowote. Joachim Low amuamini Ter Stegen
 
Wakawaida

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kwasasa huyu ndio kipa anayenikosha kwa uwezo wake mkuu wa kupangua mashuti ya timu pinzani yanayoelekezwa langoni kwake.

Kwa msimu sidhani kama ana mpinzani katika kuzuia mashuti, ni wakati sasa wa Joachim Loew kumweka benchi Manuel Neuer katika timu ya taifa na kumpa nafasi Ter Stegen aliye katika ubora wa pekee yake.
Nadhani shida kubwa ya Joachim Low ni kupendelea wachezaji wanaocheza Bundesliga kwanza. Ana mentality za kuamini Bundesliga ni Ligi bora Pamoja na wachezaji wake. Angalia hata World Cup 2018 Manuel Neur alikuwa Majeruhi almost msimu mzima lakini Bado akampanga first Mechi zote. Kilichotokea kila Mtu anajua.
Kwa sasa Ter Stegen anafanya vizuri Sana, ana save nyingi hatari lakini Bado Joachim Low hampangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bern Leno ndio yupo juu?
Leno kaibuka juzi, nampa misimu miwili tu, ter atasubir. ,ter anapigwagwa magol ya kizembe sana

Halafu hapo barca makipa wanaonekanaga bora sana ,sababu ya mfumo wa timu,

Wakitoka hapo rangi zao halis huonekana, rejea Valdes, bravo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Leno kaibuka juzi, nampa misimu miwili tu, ter atasubir. ,ter anapigwagwa magol ya kizembe sana

Halafu hapo barca makipa wanaonekanaga bora sana ,sababu ya mfumo wa timu,

Wakitoka hapo rangi zao halis huonekana, rejea Valdes, bravo

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Pumba hii...kwani kipa gani hafungwi magoli ya kizembe mara ngapi oblack anafungwa ya kizembe juzi 2 apo kafungwa goli rahis na suarez ....uyo degea spain magoli alokuwaanafungwa world cup ujinga mtupu....ter stegen anajua aisee,sijui unamaanisha nini kusema ni wa kawaida ....makipa bora wa3 duniani ni degea terstegen na oblack
 
Naunga mkono hoja
 
Kwasasa ni OBLACK, TERSTERGEN, LENO
Degea hamna kitu Bora Allison

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom