Omuregi Wasu
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 749
- 148
WANAOTOA UAMUZI NI HAO HAO CCM. Je, wanaweza kukubali kuwa PM kasema uongo?
Well, mimi nafikiria Lema asijiingize kwenye mtego mbovu ila aeleze wazi kuwa alikuwa anaomba mwongozo tu na si vinginevyo. Pia sehemu ya pili anaweza kueleza wazi kuwa alikuwepo kwenye tukio na mambo yalienda hivi na vile..... kwani kweli PM amedanganya aliposema kuwa maandamano yalizuiwa baada ya Chadema kutumia zaidi ya njia moja kuandamana wakati taarifa za kiintelijensia ndo zilivunja maandamano.

Yangu macho. Hivi kama Mh Lema akipeleka ushahidi unaoonyesha dhahiri kuwa PM kadanganya...Speaker atamchkulia hatua gani PM?