Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 644
Kama mgao wa umeme unaendelea na tuliaminishwa kuwa kwa wingi wa gesi ile tatizo la umeme litakuwa historia Tanzania.
Sasa hyo gesi inatumika wapi? Au gesi inaenda nje, alafu sisi tunaendelea kudunduliza umeme wa maji?
Mwanzo nilidhani mgao umekomeshwa kabsa katika awamu hii ya tano kumbe ilikuwa, part time tu.
Anyway mlioko huko kwenye vitengo vya gesi na mko humu, naomba kuelimishwa kuhusu gesi ya Mtwara, kama ifuatavyo:-
1.Kiwango cha upatikanaji,
2.Inatumika wapi na kwa kiwango gani?
3.Fedha ya huo mradi ilitoka wapi?
4.Je, mikataba ilisha patikana(ilishawekwa wazi)
5....
6....
7....
Wadau, ongezeni maswali, tupate kueleweshwa na wataalamu walioko humu.
Ahsanteni.