joboychali
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 169
- 85
Wakuu bado nina mkanganyiko kuhusu masomo ya sayansi. Wakati nipo chuo niliambiwa kuwa geography ni somo la sayansi na economics ni sayansi jamii. Swali langu linajikita hasa katika kutofautisha sayansi halisi na sayansi ya jamii.nawasilisha kwa wenye uelewa zaidi wanikosowe.