Hivi GADAFFI amefanya kosa gani? Kwa Wa-Libya,Afrika na Dunia

Mkuu nadhani unakumbuka uongo tuliozusha kuhusu Idd Amin mpaka leo watu wakisikia jina hilo wanaogopa. Jamaa anaitwa nduli na majina mengi kutokana na propaganda, lakini ukweli ni kwamba hakuwa mbaya kuliko Obote. Tumesikia kuwa TNC wanaongopa so inawezekana hii ni propaganda dhidi ya Gaddafi, inawezekana pia ni kweli na inawezekana pia kuwa si kweli. kwanini wasiseme kabla ya hapo?
<br />
<br />
jamaa alikuwa mbabe. Walihofia kuweka rehani maisha yao.
 
Hizi ni propagandaaaaaa za Western. Ukweli bado haujajulikana.
 
gadafi anatafutiwa sababu, tatizo ni mafuta aliyonayo.

Kumbe wapo wachache wanauujua ukweli na ukiongezea NATO ndio watakao/waliomwondoa Gadafi na sio wengine kabisa wao ndio wamewawezesha mawaasi kwa kuwapa silaha na kudhoofisha jeshi la gadafi kwa kutumia midege yao ila sidhani wataweza kuchukua mafuta kiurahisi kama wanavyodhania kazi itakuwa kama ya Iraq mpaka leo hakutawaliki.
 
Waarabu na waislam kwa ujumla hivi kwao ni vitu vya kawaida sana

Ni kweli kabisa hasa ukizingatia habari hizi hapa chini.

[h=2]Sunday, March 16, 2008[/h] [h=3]Padri Mlawiti bado ang'ang'aniwa[/h]
Kanisa Katoliki nchini, limesema litamshitaki upya Padri Sixtus Kimaro ambaye juzi alichiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania, baada ya kushinda rufaa yake iliyopinga adhabu ya kifungo cha miaka 30 aliyopewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

Padri anayedaiwa kulawiti kortini
Monday, 06 December 2010 21:56

Daniel Mjema, Moshi
HATIMAYE Padri Stanslaus Msafiri Salla (70) wa Parokia ya Kilema ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi mkoani Kilimanjaro, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na shtaka la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 16.
 
Alafu nasikia Mkuu wetu Mheshimiwa Alhaji Luteni Kanali Dakta Jakaya Kikwete ataongoza Baraza la Idd kwenye Msikiti wa Ghadafi-Dodoma
 
We kiumbe acha nidham ya woga kumbuka nyerere alisema tusiwe na haraka na madin wala hayaozi ili vizazi vijavyo waje kufaidika wasitulaghai.
 
gadafi anatafutiwa sababu, tatizo ni mafuta aliyonayo.
Hoja hili sielewi sana.
Kama unataka kutaja wapinzani wa NATO - siyo aliwauzia Italia mafuta yake tena kwa bei nafuu? Na alitumia ujuzi wa mafundi na mainjinia kutoka magharibi kuvuna mafuta ya nchi? Na wote adi Marekani waliondoa sanctions za zamani waliowahi kumpigia kwa sababu ya ugaidi wake huko Ireland, Ufaransa, Hispania ?
(Isiopokuwa hawakujali ugaidi aliyoleta kwa majirani ya kusini maana walikuwa Waafrika tu!)

Kama unataka kutaja wapinzani ndani ya nchi ya Libya - labda ni kweli. Maana alitawala juu ya mafuta kama mali yake ya binafsi, kuitumia jinsi alivyotaka na bado Libya ni nchi iliyobaki nyuma. Lakini hapa si sababu pekee kwa wapinzani kutokea. Pamoja na mauaji na unyama na udikteta wake.
 
MMHH! ILA LEO CNN WALIMWANYESHA ALIYEKUWA HOUSE GIRL WA FAMILIA YA GADAFI AMBAYE ALIKUWA ANATESWA NA HII FAMILIA...YANI SURA YAKE ILIMWAGIWA MAJI YA MOTO NA KUUNGUA VIBAYA SANA AISEE! YANI KWA HILI JAMAA ANASTAHILI HUKUMU AND FOR UR IMFO NILIKUWA NAMSAPOTI HADI LEO ASUBUHI ILA KWA SASA SIMSAPOTI TENA JAMAA.
SOMENI HAPA HALAFU MNIJIBU.
Luxury, horror lurk in Gadhafi family compound - CNN.com
 
1. Makosa yake makuu ni kutaka kuunda African Monetary Fund
2. kuweka Pan -African Communication Satellite bure kwa Afrika na hivyo Waafrika wakaacha kulipa dola mil 500 kwa Ulaya na Marekani kwa kutumia satellite zao.
3. Kuwa na kiherehere cha kusema Afrika iwe moja na Jeshi moja
4. Kuzuia Mabeberu kujichukulia Mafuta ya Libya kama wanavyochukua dhahabu na Vitu vingne ikiwemo wanyama Kule Tanzania.
5.Kiherehere cha Kuanzisha African Bank na kutoa dola bil 90 kama mtaji
6. Kukataa kuwapigia Magoti wazungu kuhusu suala a Matumizi ya Dola anataka Afrika iwe na currency Moja
7.Kupinga Sudan Kusini kujitenga na hivyo kusababisha wazungu wakose mafuta Mengine ya bwerere
Yako Mengi ngoja kwanza nimpigie Simu Saif Islam Nimwellekeze la kufanya kwenye hii vita..nicheki tena baadae

Kwa nyongeza tu alipinga sudani kusini kujitenga ili watu wa sudan kusini waeendelee kutawaliwa serikali ya kidikteta ya waarabu wa sudan Kaskazini(chini ya muuaji al bashir) kwa kusupport vikundi vya mauaji ya weusi kwa jina maarufu vikijulikana kama janjaweed.

Na kosa jingine ni kutaka Afrika liwe ni dola moja chini ya gadafi ikiongozwa na itikadi ya kiislamu.

na kosa jingine ni kutoa mabilioni ya dola ambazo zimetumika kiubaguzi kuwanufaisha waislamu bila ya kuwajali wakristo isipokuwa kama watakubali kusilimu.

 
kwanza , kwa upande wa ndani( LIBYA) GHADAFI aliingia kwa mapinduzi ambapo kabila la kiongozi aliyepinduliwa waliendelea kuwa ba bifu. pili alikuwa na Uislam wa msimamo wa wastani sasa wale wa Imani kali hawampendi, tatu katawala miaka arobaini na ushee, nne alikuwa anamwandaa mtoto wake kutawala.
kwa upande wa nje( MAREKANI NA ULAYA) hawampendi kwa sababu alikataa kuwa vibaraka wao hasa aliyazuia mafuta kuibiwa na mapato yalikuwa yanatumika kwa maendeleo ya watu wa Libya, hivyo walimumaindi sana, pili alikuwa na nguvu za uchumi kwa afrika na kuonejana kuwa na sauti katika umoja wa AFRIKA
 
<br />
<br />
Kidzude usitumie taarifa za mitaani, hakuna nchi isiyokuwa na masikini duniani mpaka sasa.
nazani kama atsoma maana kamili ya umasikini atakuja kuona kwamba kila mtu dunia hii ni maskini
 
Naomba wenye kujua siasa za Libya,wanijuze hutyu jama hivi leo CNN,BBC nk wanamuita Dikteta amefanya makosa yapi hadi amepigwe kiasi hiki.
naomba majibu kama matatu ambayo yanafanya asitahili anachopata hivi sasa.

"Mkataa pema pabaya panamwita" na "Mchezea zuri baya humfika", walisema wahenga. Walibya wamekataa pema na wameamua kulichezea zuri. Mimi na wewe tuombe uhai mrefu ili baadae tuje tuone hali itakuwaje huko libya.
 
MMHH! ILA LEO CNN WALIMWANYESHA ALIYEKUWA HOUSE GIRL WA FAMILIA YA GADAFI AMBAYE ALIKUWA ANATESWA NA HII FAMILIA...YANI SURA YAKE ILIMWAGIWA MAJI YA MOTO NA KUUNGUA VIBAYA SANA AISEE! YANI KWA HILI JAMAA ANASTAHILI HUKUMU AND FOR UR IMFO NILIKUWA NAMSAPOTI HADI LEO ASUBUHI ILA KWA SASA SIMSAPOTI TENA JAMAA.
SOMENI HAPA HALAFU MNIJIBU.
Luxury, horror lurk in Gadhafi family compound - CNN.com

Achana na CNN imeshindwa kuripoti vimbunga huko USA na Somalia watu wafa njaayenyewe yang'ang'ania Libya tu.Je kama huyo Housegirl kapikwa? au alikuwa ndio wale sniper waliobaki mle? na alikaeje ndani ya nyumba mpaka waasi waingie ? Ili kuokoa maisha angesema gadafi alimtendea mema ili wamuone kuwa ni Royal to gadafi?. Isitoshe mi naona analala pazuri ile tiles ya Spanish full umeme etc kuliko kwao Ethiopia njaa tu jamaa nasikia wamechukua habari na kumuacha?.
 
kwanza , kwa upande wa ndani( LIBYA) GHADAFI aliingia kwa mapinduzi ambapo kabila la kiongozi aliyepinduliwa waliendelea kuwa ba bifu. pili alikuwa na Uislam wa msimamo wa wastani sasa wale wa Imani kali hawampendi, tatu katawala miaka arobaini na ushee, nne alikuwa anamwandaa mtoto wake kutawala.
kwa upande wa nje( MAREKANI NA ULAYA) hawampendi kwa sababu alikataa kuwa vibaraka wao hasa aliyazuia mafuta kuibiwa na mapato yalikuwa yanatumika kwa maendeleo ya watu wa Libya, hivyo walimumaindi sana, pili alikuwa na nguvu za uchumi kwa afrika na kuonejana kuwa na sauti katika umoja wa AFRIKA

Ni kweli alimpinduamjomba wake ambaye wanawe wanaamini kuwa wao ndio watakuwa warithi wa kiti kile cha uongozi libya. Ukoo wa mjombawe una wafuasi wengi benghazi wanaomanini waliporwa haki yao ndio hao Rebels. lakini mzee NATO kapitia hapohapo ili kupata kuchoma ndani ya Libya na REBELS wameahidi kurekebisha mikataba ambayo mzee mzima aligoma isije ikawa kama ya kwenu?. Hivi Bahrain mbona hawaendi hawa NATO walizimisha maandamano kimyakimya bila hata taarifa?.
 
Ila hicho sio kigezo cha kumuandama dunia nzima.namkubali gadafi coz ni strong na anawapa tabu wazungu.
 
Back
Top Bottom