Atakapokuwa ameondoka na NATO wanapatrol mitaa ndo watu/walibiya watajua kuwa walikuwa chambo tu kwa western interests. Things wont be the same for Libyans and Libya streets.wote mnaosema Gaddafi ameondolewa na wananchi wa Libya aidha ni waongo au hamjui mnachosema.

Kosa la Gaddafi, ni

1. kung'ang'ania madaraka baada ya raia wa Libya kuuchoka uongozi wake.

2. Kuwaita waliompinga ni mende na kunguni, na kutoa wito kwa majeshi yake kuwaangamiza.

3. kushindwa kuheshimu sauti na maoni ya wananchi wa liblya ya kuwa na uchaguzi utakaotoa fursa kwa walibya kuchagua viongozi wawapendao.

KAMA ANGEKUWA KIONGOZI WA WATU, ANGEANDAA MCHAKATO WA KUFANYA UCHAGUZI HURU, AMBAPO KAMA ANGEHITAJI KUENDELEA KUONGOZA LIBYA, BASI KURA ZA WANANCHI WAKE ZINGEAMUA. KI

KITENDO CHA YEYE KUKATAA MAPENDEKEZO YA WATU WAKE, KUONESHA NIA YA KUMWACHIA MADARAKA MWANAE NA KUWAITA WATU WANAOTAKA MABADILIKO NI MENDE NA KUNGUNI KUNATOSHA KUMWITA YEYE NI DIKTETA means ANT DEMOCRATIC.

HATA HIVYO SIKUBALIANI NA NCHI ZA KIGENI KUTUMA MAJESHI YAO, WANGEWAACHA WALIBYA WENYEWE WAFIKIE MABADILIKO WANAYOYAHITAJI BILA KUSAIDIWA NA WAGENI HARAMU. SIKU ZOTE MAENDELEO NI INTERNAL PROCESSES NA SIO EXTERNAL PROCESSES. WALIBYA WANA HATARI YA KUTOMUDU KUIONGOZA LIBYA BAADA YA GADDAF KWA KUWA WAMEMOUNDOA KWA MSAADA WA WAGENI, WAVAMIZI.
Naomba wenye kujua siasa za Libya,wanijuze hutyu jama hivi leo CNN,BBC nk wanamuita Dikteta amefanya makosa yapi hadi amepigwe kiasi hiki.
naomba majibu kama matatu ambayo yanafanya asitahili anachopata hivi sasa.
Gadafi ni jambazi kichaa anaeweza kuua muda wowote kwa sababu za kijinga kabisa. Liliwahi kuleta askari wake kutuua watanzania eti kwa kuwa idd amini ni muislamu mwenzake! ***** wacha walikate kichwa! Sasa angalia ujinga wake ndio unammaliza!
Gaddafi kweli ana matatizo yake lakini sikubaliani kuwa ubishi ndio uliomponza.Kuna wangapi wapole lakini bado wakoloni hulazimisha waondoke wakipenda hivyo kulingana na maslahi yao.Unakumbuka upole wa Saddam na Taliban mbona walipigwa?.Ntagunga umenena (wanasemaga nipe tano!).
Ubishi wa Gaddafi usio na mpango umemponza. Watu wengi humu jamvini wanafikiria kama unampinga Gaddafi basi wewe ni kibaraka wa wakoloni. Hilo sio swala, viongozi wabishi ka Gaddafi ni watu wa kuteketezwa tu. Hiyo ndio dawa yao! Mie nshaona kuna jamaa humu hisia na hasira zimewazidi mpaka hekima imepotea. Kisa eti Gaddafi na utawala wake wa kidikteta umeangushwa. Duhu!
Kama hujui makosa ya Gaddafi, tueleze kwanza umri wako. Inawezekana kabia wakati anfadhili uaidi hap duniani ulikuwa haujazaliwaNaomba wenye kujua siasa za Libya,wanijuze hutyu jama hivi leo CNN,BBC nk wanamuita Dikteta amefanya makosa yapi hadi amepigwe kiasi hiki.
naomba majibu kama matatu ambayo yanafanya asitahili anachopata hivi sasa.

Makosa ya Gadafi ni sawa na makosa anayofanya JK kuwadhulumu walipa kodi wa nchi hii haki yao, kushirikiana na wageni kupora rasilimali za nchi hii, Kujilipa mwenyewe makampuni yake ya siri kama Dowans, kuwalinda Mafisadi wenzake, Mkapa , EL, Chenge, RA na kuwalea wauza unga. Need I say more ..... .... . ..
Acha upuuzi wewe na mawazo mgando,unasema Libya hakukuwa na masikini katika utawala wa gadaff?,je unafahamu ni nani anayeitwa masikini kwa defn ya kimataifa?,Mimi nimesoma Libya,masikini walikuwapo wengi tu na wataendelea kuwepo tu,hakuna nchi hata moja ya kiafrica isiyokuwa na watu masikini,kinachotofautisha nchi moja na nyingine ni idadi ya hao masikini,yamkini ni kweli masikini waliopo Libya wasiwe wengi ka hapa Tz,lkn wapo wengi tu.Muamar Gaddafi ameondolewa na raia wa Libya waliochoka na maisha waliyokuwa wakiishi ya umaskini,
kweli wewe unaongea usilo lijua, libya hakukuwa na masikini chini ya utawala wa gadaff, sasa sijui hao maskini unao wasema wewe wamehamia toka tanzania au wasema masikini gani
ukiijua story ya libya vizuri utalia kwa uchungu, kama ni waasi mtoto wa gadafi asingeweza kutoka nje na akazungumza na waandishi wa habari wa kigeni ambao wapo kwenye mji ambao wenyewe wanaandika habari kuwa umechukuliwa na waasi. Mungu awalaaani wazunu .......
asiyeona mabovu ya Gadaff ana uzandiki, umimi =AFRICANISM?
how come rais anawashambulia raia kwa makombora na vifaru ili asitoke madarakani??
kama aliipenda Libya angewakubalia wanainchi kuondoka na sii kuleta ubishi kisa jeshi lake
Acha upuuzi wewe na mawazo mgando,unasema Libya hakukuwa na masikini katika utawala wa gadaff?,je unafahamu ni nani anayeitwa masikini kwa defn ya kimataifa?,Mimi nimesoma Libya,masikini walikuwapo wengi tu na wataendelea kuwepo tu,hakuna nchi hata moja ya kiafrica isiyokuwa na watu masikini,kinachotofautisha nchi moja na nyingine ni idadi ya hao masikini,yamkini ni kweli masikini waliopo Libya wasiwe wengi ka hapa Tz,lkn wapo wengi tu.