Hivi Forums zote huwa na format moja

Nadhani wanatumia software ile ile moja hata hivyo JF imeboreshwa sana kulinganisha na hizo zingine. JF bwana ni kiboko
 
Nadhani wanatumia software ile ile moja hata hivyo JF imeboreshwa sana kulinganisha na hizo zingine. JF bwana ni kiboko
Powered by vBulletin™ Version 4.0.7
Copyright © 2010 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.
Content Relevant URLs by vBSEO 3.5.2
Tabs System by vbSoporte - vBulletin en Español
 
Nafikiri unataka kujua kama forum huwa zinaendeshwa na software za aina moja (powered by).

Zipo software nyingi zinazoendesha forum, Jamiiforums kwamfano inaendeshwa na vBulletin. Sababu ya kuwa na sura tofauti kati ya tovuti mbalimbali za vBulletin ni kutokana na, matoleo yake (vBulletin version) au nguo zinazovaa (Styles & Templates).

Vbulletin ndiyo iliyo kuwa installed kwenye server nyingi (popular) ila zipo nyingine nyingi tuu mfano:
PHPbb, vBulletin, SMF, Simple Machines, punBB, expressionengine.

Ukitakakujua ni software gani maarufu tumia google operator hii (intext:"powered by").

vBulletin - kuna pages 615,000,000 za vb kwenye serp ya google

vbulletin0.jpg



Express Engine - kuna pages 4,210,000 za EE kwenye serp ya google

expressengine.jpg




punBB - kuna pages 3,360,000 za punBB kwenye serp ya google

punbb.jpg
 
Back
Top Bottom