Hivi flaviana si aliolewaga jamani, iliishaje?

Mikhail Tal

JF-Expert Member
May 12, 2016
377
672
Wanazengo wapenda ubuyu, embu tujuzane wapenda umbeya. Huyu dada historia inasema aliolewaga. Hivi kimeendaje tena ama ndo mambo ya uzungu. Status ipoje sahiv? Maana tangu aolewage sijawahi muona na jamaa yake.



Flaviana matata.jpg
Flaviana.JPG
 
Kwahiyo ina maana JF walikosea kuweka jukwaa la Celebrities? Kwani hao wengine tunaowadiscuss inatuhusu?
waliweka ili mjadili kazi zao au ndoa zao, nadhani hii ni privacy yake angetaka ijadiliwe angeiweka wazi kwenye media.., anyway its your prelogative kujadili unachotaka ila usiseme kwamba inakuhusu...
 
Back
Top Bottom