Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Aisee, unahasira sana mkuu,

Wewe si ndo yule wa mradi wa Bandari kule Bagamoyo na ukiambiwa kuuelezea unapiga hadi tunachungulia faida tupu?
Umechanganyikiwa, hata hujui unaloandika. Mimi na Bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?

Huyu mtu wako hapa hana hadhi kabisa na nafasi hiyo aliyoiokota; si kimwonekano tu bali hata katika uwezo wa utendaji.

Na mbaya zaidi, katekwa na kundi la wapigaji. Hii itakuwa balaa.
 
Unataka tu amini watalii/watu kutoka nchi za Kiislamu hawatavutiwa na RT movie?!
Hapana , hata nchi nyingi zinazo julikana kama za kiislamu sheria nyingi zimelegezwa watu wanavaa vimini hadharani alcohol zinafutwa uraiani na matamasha ya mziki yapo kama kawaida mfano Dubai, Qatar, Saudi Arabia (baadhi ya miji) nk

Kiufupi dunia sasa hivi ni uwanja wa fujo kila mda unavyozidi kusonga uovu unaongezeka na taratibu za dini zinapuuzwa .
 
Tatizo liko kwenye ushungi.

Unavaaje ushungi huku unafirwa na mabeberu!?
Usipokula ban wewe, nitashangaa!
Chupa mpya, lakini pombe inaonekana ni ya zamani. ID inaonyesha umejiunga jana (29/4/2022) tu hapa JF, lakini MATUSI unawazidi WAKONGWE wa hapa. Inaonyesha umeshatupwa nje, umeamua kuja na ID nyingine!
Mkuu, jitahidi KUJIHESHIMU basi!
 
Mimi nilidhani ime'editiwa kumbe ni picha halisi? hata hivyo si kuna habari kuwa waliishaachana ns tayari ana bi mdogo mwingine?
 
Mama mkwe wa Mohamed mchengerwa aise Kuna watu Wana bahati duniani haki vile
 
Back
Top Bottom