Hivi fedha zilipotengeneza mara ya kwanza zilisambaa vipi kwa binadamu duniani?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Mfano

Mtu umebuni bidhaa yako,lazima utatafuta wakala ambaye ataichukua kwako kwa gharama fulani na yeye ataenda kuisambaza, kuiuza, kwa gharama flani ili apate faida... Vile vile yule atakayeipata kwa wakala flani nae anaweza kuidalali kwa mwingine ili apate faida flani... Ndio utakuta brand ile inasambaaa kwa binadamu

Sasa ilikuwaje kwa ishu ya pesa.... Ilisambaaa vp
 
Waliosoma historia watatueleza vizuri. Kwa hapa Tanzania, wakoloni walifungua mashamba ya kilimo cha biashara kama vile mkonge , pamba, chai n.k.walitangaza ujira kwa atakayefanya kazi lakini watu hawakujali kwakuwa wao walitumia njia ya kubadilishana. Umuhimu wa fedha ya mkoloni wahakuuona.
Mkoloni alianzisha kodi ya kichwa ambayo ilipwa kwa fedha. Ili upate fedha iliwalazimu wakafanye kazi kwenye mashamba ya wakoloni.
 
Mi nAdhani jibu ni simple
Zilivotengenezwa zilikua mikononi mwa warabu ndipo wakaenda nazo minadani nk kufanya manunuzi yani wanawapa waafrica in exchange na bidhaa ,kwahyo waafrica nao wakaenda kufanyia biashara na wenzao

NB
Kila watu walikua na pesa yao
So mleta mada usidhani ilitumika pesa moja
Wajerumani walikua na yao na pia waarabu
 
Mfano

Mtu umebuni bidhaa yako,lazima utatafuta wakala ambaye ataichukua kwako kwa gharama fulani na yeye ataenda kuisambaza, kuiuza, kwa gharama flani ili apate faida... Vile vile yule atakayeipata kwa wakala flani nae anaweza kuidalali kwa mwingine ili apate faida flani... Ndio utakuta brand ile inasambaaa kwa binadamu

Sasa ilikuwaje kwa ishu ya pesa.... Ilisambaaa vp
Kublai Khan nadhani ndiye mtawla wa kwanza kuanza kutumia pesa za coins na makaratasi huko china. Ilikuwa akiwalipa askari na wanajeshi na wafanyakazi kwa pesa ambazo nazo walizitumia kununua vitu kwasababu zilikuwa ni adimu.
Pia soma ka historia ka pesa ya juzi ijulikanayo kama bitcoin
 
Historia ya pesa imeanzia mbali sana, zamani sana watu walikuwa wakibadilishana bidhaa kwa bidhaa, huyu anatoa gunia la nafaka yule anatoa ngombe au kitu kingine mtakacho kubaliana, baadae ikaja promisory note, hii ni karatasi ambayo inaandikwa thamani ya vitu kama promisory note hii thamani yake ni vipande vingapi vya dhahabu au fedha, na hii walikuwa wakitumia sana matajiri na wafanya biadhara wakubwa kama leo mwenye hela zake nyingi ataweka bank masikini ataficha chini ya mto, baada ya kuzoeleka hii ndio zikaja fedha za makaratasi na coins. Ila hii promisory note nadhani mpaka leo inatumika kwa mabenki kwa malipo ya biashara kubwa kubwa na makampuni makubwa. Kuhusu kusambaa ni suala la ubepari tu kuweka system lazima utumie pesa zao na ukizingua wanakuzingua ndio maana bepari mkuu marekani ukimzingua pesa yako anaishusha thamani maana kipimo cha pesa zote duniani ni dola yake.
 
Asantee mkuu...
 
Back
Top Bottom