Elimu ina nafasi gani katika kuoa na kuolewa?
Tatizo sio elimu wala wanawake wasomi, tatizo ni wanaume waliosoma bado hawajaelimika. Wanaume wasomi wanataka wanawake wasiosoma kwa kuwa wanakubali kukanadimizwa. Wanaume hawataki mawazo mbadala toka kwa wake zao. Wanataka wafanye watakavyo bila kuhojiwa na mke wake. Mke aliyeelimika ni lazima atataka ufafanuzi kwa kila jambo linalofanyika ndani ya familia. Iwapo majibu hayataridhisha hata kubali, hapo ndiyo mwanzo wa migogoro.Elimu ina nafasi kubwa sana katika kuolewa na nafasi yenyewe ni kwamba ukitaka usiolewe wewe na upigishwe mimba tu watu wakukimbie au wakuibie halafu wakukimbie basi kuwa umesoma sana.Ndio maana ukienda kwenye vyuo vyote malecturer wa kike wengi wao hawajaolewa ila wana watoto jamaa wamepiga kiboga wakachukua mshiko wakakimbia kuchua dogodogo zisizosoma huo ndio ukweli wenyewe.
haina nafasi kabisa. Elimu, pesana n.k ni mbwembwe zetu tu binadamu na si zaidi ya hapo!
Kama ingekuwa na nafasi, jiulize watu ambao hawakubahatika kwenda shule igekuwaje?!
Elimu ina nafasi kubwa sana katika kuolewa na nafasi yenyewe ni kwamba ukitaka usiolewe wewe na upigishwe mimba tu watu wakukimbie au wakuibie halafu wakukimbie basi kuwa umesoma sana.Ndio maana ukienda kwenye vyuo vyote malecturer wa kike wengi wao hawajaolewa ila wana watoto jamaa wamepiga kiboga wakachukua mshiko wakakimbia kuchua dogodogo zisizosoma huo ndio ukweli wenyewe.
kutegemeana na akili ya wahusika, inaweza kuwa na nafasi ama isiwe na nafasi.
unaeweza ponza watu wakaacha shule kisa ndoa. someni mwaya wadada elimu itawasaidia na familia zenu, men wanawapenda wasosoma ili wawanyanyase na kuwagandamizaElimu ina nafasi kubwa sana katika kuolewa na nafasi yenyewe ni kwamba ukitaka usiolewe wewe na upigishwe mimba tu watu wakukimbie au wakuibie halafu wakukimbie basi kuwa umesoma sana.Ndio maana ukienda kwenye vyuo vyote malecturer wa kike wengi wao hawajaolewa ila wana watoto jamaa wamepiga kiboga wakachukua mshiko wakakimbia kuchua dogodogo zisizosoma huo ndio ukweli wenyewe.
Elimu ina nafasi gani katika kuoa na kuolewa?
Elimu ina nafasi gani katika kuoa na kuolewa?