EATV used to be be very popular some time back zile Enzi za akina TID, Mr Blue, Mr. Nice, TMK, Prof jay, Ray C etc ..... Nowadays not so much. The channel is still available on Kenyan airwaves though!!! Maji ya Kilimanjaro.... sijawahi ona Kenya.Hello guys am just curious..
Coz east africa tv (from Tanzania) wanapiga song za kikenya na kiganda na show zao kama vile strictly Kenyan (maybe still bado IPO)..
Kuhusu maji ya Kilimanjaro je..
Ilikua inakusaidia kusukuma sembe (ugali)Mangopiko. Hii bidhaa tamu kutoka Tz ntaipata wapi? Nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi kwetu kule mipakani KJD tulikuwa tunaipata ila ilipotea kabisa. Kuna wakati niliiulizia sana Moshi na kule Arachuga madingilai na maarifu wangu walikuwa wanaifahamu sana ila sikufanikiwa kuipata.
Dah, hii kitu tamu sana ukiweka kwa mboga ya nyama roast na ugali, unaweza maliza ugali mkubwa sana bila kujua.Mangopiko. Hii bidhaa tamu kutoka Tz ntaipata wapi? Nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi kwetu kule mipakani KJD tulikuwa tunaipata ila ilipotea kabisa. Kuna wakati niliiulizia sana Moshi na kule Arachuga madingilai na maarifu wangu walikuwa wanaifahamu sana ila sikufanikiwa kuipata.
Wewe siunajua tu vyakula vya mashuleni, mimi na marafiki zangu(wawili watz na mmoja mkenya) hatukuwa tunakosa hii kitu. All year round! Hadi tulikuwa na sehemu yetu ndani msikitini ya kufichia kopo la mangopiko ili wenye mikono mirefu wasiifikie. Kengele ya lunchtime ikipigwa tunaenda moja kwa moja hadi msikitini utadhani tunaenda kusali. Kila mtu anachota mzigo wake kisha tunaingia hall. Ilikuwa inaambatana vizuri sana na vyakula flat vya shuleni kama wali maharage au sima na kabeji. Stock ikiisha tunaruka fence kununua nyingine madukani, kama hatuna hela tunaiba kutoka kwa baadhi ya wanafunzi wenzetu watz ambao pia walikuwa wanaipenda sana hiyo kitu. Dah! Utoto raha sana. Mzaha kando, ntazipata wapi jombaa?
Acha tu bana, na kwenye samaki fry na sima? Hadi na vidole utajing'ata.Dah, hii kitu tamu sana ukiweka kwa mboga ya nyama roast na ugali, unaweza maliza ugali mkubwa sana bila kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa.. Sisi tulikua tuanaita apeti, bila apeti chakula hakishuki. Kuna zile zili kua local made zina mafuta mob! Watoi walikua wakiletewa siku za VD mimi nikishirikiana na manyang'au wenzako tulikua tunawachapa tu, Zile ndiyo zilinibamba. Hali ikiwa mbaya sana tunatumia BB au zile pili pili za unga kwenye vikopo vidogo zilikua zinatokea Msa.Wewe siunajua tu vyakula vya mashuleni, mimi na marafiki zangu(wawili watz na mmoja mkenya) hatukuwa tunakosa hii kitu. All year round! Hadi tulikuwa na sehemu yetu ndani msikitini ya kufichia kopo la mangopiko ili wenye mikono mirefu wasiifikie. Kengele ya lunchtime ikipigwa tunaenda moja kwa moja hadi msikitini utadhani tunaenda kusali. Kila mtu anachota mzigo wake kisha tunaingia hall. Ilikuwa inaambatana vizuri sana na vyakula flat vya shuleni kama wali maharage au sima na kabeji. Stock ikiisha tunaruka fence kununua nyingine madukani, kama hatuna hela tunaiba kutoka kwa baadhi ya wanafunzi wenzetu watz ambao pia walikuwa wanaipenda sana hiyo kitu. Dah! Utoto raha sana. Mzaha kando, ntazipata wapi jombaa?
Sasa umeelewa kwanini nazitafuta sana hizo mangopiko? Great memories, hiyo kitu ndio ilikuwa inasongesha masiku hadi tutakapopatana tena na chakula cha mama. Tukiwa nyumbani tulikuwa tunaitumia mara moja moja ila shuleni ilikuwa ni kama oxygen. Utadhani tukiikosa tutakufa.Hahahaa.. Sisi tulikua tuanaita apeti, bila apeti chakula hakishuki. Kuna zile zili kua local made zina mafuta mob! Watoi walikua wakiletewa siku za VD mimi nikishirikiana na manyang'au wenzako tulikua tunawachapa tu, Zile ndiyo zilinibamba. Hali ikiwa mbaya sana tunatumia BB au zile pili pili za unga kwenye vikopo vidogo zilikua zinatokea Msa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kamata sana E.A hiyo tv ila nazani kifo cha mwanzilishi ndiyo kili irudisha nyuma. Yule mtoto wa Mengi aliyekufa hii ndiyo ilikua idea yake and he excuted it very well. To bad alitutoka mapemaInaonesha EA TV/Radio ni project iliyofail kufanya vizuri nje ya Bongo kama walivyokuwa wameplan that's why naona sikuhizi wamebase sana bongo, hata vile vipindi vichache walivyokuwa wakiviandaa kwa ajili ya Waganda/Wakenya vimefutwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi EATV ilikua ndio habari ya mjini, niliipenda sana maana walichanganya nyimbo za kote....
Maji ya Kilimanjaro huwa nayaona Bongo tu ila Kenya hayapo, na hata huko Bongo wengi wenu mnayaogopa kwa ajili ya bei....
Ila Kenya kuna maji niliyaona yalikua yanaitwa Kilimanjaro ila nilichunguza nikagundua yalikua yanatengenezwa huko huko ata branding ilikuwa tofauti miaka ya 2003. Hiko kipindi kilikua kinaitwa UTAKE kama sijakoseaKuna kipindi EATV ilikua ndio habari ya mjini, niliipenda sana maana walichanganya nyimbo za kote....
Maji ya Kilimanjaro huwa nayaona Bongo tu ila Kenya hayapo, na hata huko Bongo wengi wenu mnayaogopa kwa ajili ya bei....
Hahaha! Mada ilikuwa kuhusu maji ya kilimanjaro na EATV.Nyie mnaoleta habari za EATV mnatuharibia mjadala wetu wa mango pickle.
Duh, hii chachandu ilinifanya bondo (ugali wa serikali) nilione tamu kama Pizza za Sea Cliff...
Four years were few years!