Hivi east africa tv ya tanzania, na maji ya kunywa ya kilimanjaro ni brand zinazofahamika huko kenya?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,665
3,628
Hello guys am just curious..

Coz east africa tv (from Tanzania) wanapiga song za kikenya na kiganda na show zao kama vile strictly Kenyan (maybe still bado IPO)..

Kuhusu maji ya Kilimanjaro je..
 
Ulitakaje mkuu?! Nenda "field" hutouliza maswali rahisi ya sampuli hii!
Utakacho fuata ni kuhoji kipindi cha Area 256 kiliishia wapi..Air Uganda wamekwama wapi! Bush baby bado kaajiriwa!?..anyways.. Subiri majibu..wahusika wako humu!!
 
Hello guys am just curious..

Coz east africa tv (from Tanzania) wanapiga song za kikenya na kiganda na show zao kama vile strictly Kenyan (maybe still bado IPO)..

Kuhusu maji ya Kilimanjaro je..
EATV used to be be very popular some time back zile Enzi za akina TID, Mr Blue, Mr. Nice, TMK, Prof jay, Ray C etc ..... Nowadays not so much. The channel is still available on Kenyan airwaves though!!! Maji ya Kilimanjaro.... sijawahi ona Kenya.
 
images
Mangopiko. Hii bidhaa tamu kutoka Tz ntaipata wapi? Nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi kwetu kule mipakani KJD tulikuwa tunaipata ila ilipotea kabisa. Kuna wakati niliiulizia sana Moshi na kule Arachuga madingilai na maarifu wangu walikuwa wanaifahamu sana ila sikufanikiwa kuipata.
 
Ilikua inakusaidia kusukuma sembe (ugali)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, hii kitu tamu sana ukiweka kwa mboga ya nyama roast na ugali, unaweza maliza ugali mkubwa sana bila kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikua inakusaidia kusukuma sembe (ugali)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe siunajua tu vyakula vya mashuleni, mimi na marafiki zangu(wawili watz na mmoja mkenya) hatukuwa tunakosa hii kitu. All year round! Hadi tulikuwa na sehemu yetu ndani msikitini ya kufichia kopo la mangopiko ili wenye mikono mirefu wasiifikie. Kengele ya lunchtime ikipigwa tunaenda moja kwa moja hadi msikitini utadhani tunaenda kusali. Kila mtu anachota mzigo wake kisha tunaingia hall. Ilikuwa inaambatana vizuri sana na vyakula flat vya shuleni kama wali maharage au sima na kabeji. Stock ikiisha tunaruka fence kununua nyingine madukani, kama hatuna hela tunaiba kutoka kwa baadhi ya wanafunzi wenzetu watz ambao pia walikuwa wanaipenda sana hiyo kitu. Dah! Utoto raha sana. Mzaha kando, ntazipata wapi jombaa?
 
Hahahaa.. Sisi tulikua tuanaita apeti, bila apeti chakula hakishuki. Kuna zile zili kua local made zina mafuta mob! Watoi walikua wakiletewa siku za VD mimi nikishirikiana na manyang'au wenzako tulikua tunawachapa tu, Zile ndiyo zilinibamba. Hali ikiwa mbaya sana tunatumia BB au zile pili pili za unga kwenye vikopo vidogo zilikua zinatokea Msa.

Sasa umeelewa kwanini nazitafuta sana hizo mangopiko? Great memories, hiyo kitu ndio ilikuwa inasongesha masiku hadi tutakapopatana tena na chakula cha mama. Tukiwa nyumbani tulikuwa tunaitumia mara moja moja ila shuleni ilikuwa ni kama oxygen. Utadhani tukiikosa tutakufa. :D
 
Inaonesha EA TV/Radio ni project iliyofail kufanya vizuri nje ya Bongo kama walivyokuwa wameplan that's why naona sikuhizi wamebase sana bongo, hata vile vipindi vichache walivyokuwa wakiviandaa kwa ajili ya Waganda/Wakenya vimefutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha EA TV/Radio ni project iliyofail kufanya vizuri nje ya Bongo kama walivyokuwa wameplan that's why naona sikuhizi wamebase sana bongo, hata vile vipindi vichache walivyokuwa wakiviandaa kwa ajili ya Waganda/Wakenya vimefutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kamata sana E.A hiyo tv ila nazani kifo cha mwanzilishi ndiyo kili irudisha nyuma. Yule mtoto wa Mengi aliyekufa hii ndiyo ilikua idea yake and he excuted it very well. To bad alitutoka mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi EATV ilikua ndio habari ya mjini, niliipenda sana maana walichanganya nyimbo za kote....
Maji ya Kilimanjaro huwa nayaona Bongo tu ila Kenya hayapo, na hata huko Bongo wengi wenu mnayaogopa kwa ajili ya bei....
 
Bei ipi wakati lita 1.5 ni 1000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi EATV ilikua ndio habari ya mjini, niliipenda sana maana walichanganya nyimbo za kote....
Maji ya Kilimanjaro huwa nayaona Bongo tu ila Kenya hayapo, na hata huko Bongo wengi wenu mnayaogopa kwa ajili ya bei....
Ila Kenya kuna maji niliyaona yalikua yanaitwa Kilimanjaro ila nilichunguza nikagundua yalikua yanatengenezwa huko huko ata branding ilikuwa tofauti miaka ya 2003. Hiko kipindi kilikua kinaitwa UTAKE kama sijakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom