Hivi dunia ya Leo ingekuweje kama taifa la Marekani lisingekuwa Super Power?

Marekani ni taifa lililobarikiwa; wanatumia ma Trillion ya dola regulate mifumo ya kimataifa...kwa nini?

Bila hawa dunia ingekuwa mahalia pa hovyo kabisa kuishi, kila taifa lingefanya litakavyo.

US kiboko; ukiwabishia tu wiki humalizi madarakani.
 
Kama role modal wetu China angekuwa super power nadhani wananchi wa nchi nyingi za Africa wangekuwa na hali mbaya sana kwa ukandamizaji ambao wangekutana nao toka kwa viongozi wao wa nchi!

China yeye hajali hata kama mnauana,ilimradi anapata faida basi anaendelea kukukopesha mamiradi kibao!

Pia wachina unaweza waomba wakukopeshe hela ya barabara ila wewe ukaenda kununua ndege,wala hawajali ilimradi tu pesa yao irudi!Ukishindwa wanashika bandari na vitega uchumi vyako!
Wachina ni jamii ya waafrika tu...aliyenarikiwa ni Mzungu!! Nafikiri ndiyo uzao hakisi wa Ibrahim.
 
Kama role modal wetu China angekuwa super power nadhani wananchi wa nchi nyingi za Africa wangekuwa na hali mbaya sana kwa ukandamizaji ambao wangekutana nao toka kwa viongozi wao wa nchi!

China yeye hajali hata kama mnauana,ilimradi anapata faida basi anaendelea kukukopesha mamiradi kibao!

Pia wachina unaweza waomba wakukopeshe hela ya barabara ila wewe ukaenda kununua ndege,wala hawajali ilimradi tu pesa yao irudi!Ukishindwa wanashika bandari na vitega uchumi vyako!
Wachina ni jamii ya waafrika wana matatizo mengi tu...aliyebarikiwa ni Mzungu!! Nafikiri ndiyo uzao halisi wa Ibrahim.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom