Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
eti wakuu usipolipia dstv zinabaki channel ngapi au hawakuachii hata moja?
Duh....shenz sana hao yan hawakuachii ht ITVUsipolipia utaona channel moja tu ya matangazo inaitwaa dish
Mahitaji ya aina gani sasa? Wakati zipo tu mitaani na mafundi kibaoKWA MAHITAJI YA VING'AMUZI AINA ZOTE NA MSAADA
PIGA:0755316010