Hivi Dr. Slaa ni mpinzani wa kweli?

umla

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,166
554
Nimekuwa nikisikia kwamba Dr.Slaa alikuwa mwanachama wa CCM na alijiunga chadema mara baada ya kushidwa kwenye kura za maon ndani ya chama kwahiyo ndo akaamua kuhamia chadema.hapa kuna maswali kadhaa ya kujiuliza.

Je angeshinda na kuwa mbunge wa ccm si mpaka leo angekuwa mwana ccm.?

Je wanajamvi hamuon mtu huyu alikuja kutafuta cheo.?

kwa nini anawashutumu watu ambao wamejiunga na chama toka wakiwa na umri wa miaka 16 na hawajawahi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa zaid ya chadema.

Binasfi ninawasiwasi na uwanachama wa huyu mzee anaonekana kama alienda chadema kuganga njaa.
 
Wapinzani wote walikuwa Ccm kwa sababu ya mfumo wa Chama kimoja enzi za mwalimu. Hata huko Urusi wapinzani wa Putini zamani walikuwa kwenye chama cha kikomonist cha Urusi, hivyo wewe unaona cha ajabu ni kipi?
 
Na kuhusu kuganga njaa wewe ndo unae ganga njaa kutwa nzima kuwasifia wanaume wenzako na inajionyesha isivyo kamili.
 
We cjui una umri gain?make sio nianze kumbe tatzo lako ni umri hautoshi
 
Nimekuwa nikisikia kwamba Dr.Slaa alikuwa mwanachama wa CCM na alijiunga chadema mara baada ya kushidwa kwenye kura za maon ndani ya chama kwahiyo ndo akaamua kuhamia chadema.hapa kuna maswali kadhaa ya kujiuliza.

Je angeshinda na kuwa mbunge wa ccm si mpaka leo angekuwa mwana ccm.?

Je wanajamvi hamuon mtu huyu alikuja kutafuta cheo.?

kwa nini anawashutumu watu ambao wamejiunga na chama toka wakiwa na umri wa miaka 16 na hawajawahi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa zaid ya chadema.

Binasfi ninawasiwasi na uwanachama wa huyu mzee anaonekana kama alienda chadema kuganga njaa.

Anachapa kazi kama jinsi wanaIgunga wanavyoonekana kumwamini na kumsikiliza katika mkutano wake leo.

attachment.php
 
Shetani anaweza kuufitini ufalme wake?

CCM wanapumulia machine kutokana na mawe ya Dr Slaa.
 
Dr W.P Slaa kiongozi anayekubalika popote aendapo inchini tanzania licha ya mizengwe mingi.

Igunga- we acha tu.

attachment.php
 
Kimsingi Dr.Slaa bado ni mwana CCM ndiyo maana mpaka leo bado anayo kadi ya CCM.
 
Kimsingi Dr.Slaa bado ni mwana CCM ndiyo maana mpaka leo bado anayo kadi ya CCM.

Ikusadia nini na ccm yako? mbona hamishi kumtukana, kumkashifu mara babu mara ..... na wewe Ritz ni mmoja wao.

Dr piga kazi jana ulifanya makuu Nzega leo je....... nimeona picha hii hapa

attachment.php
 
Style za siasa za Tanzania ukikosa one place unahamia kwingine!
Ndo alichofanya Slaa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hana upinzani wowote ila amejaa chuki,husuda na uzandiki na hiyo ni kama asili yake.
 
Waulize ccm kama kweli ni mpinzani ama vip!ukiuliza wanaume eti fulani ni rijali tutakwambia kamuulize mke au demu wake,sasa kwa issue ya Dr waulize ccm kwa nini wanahaha sana wakisikia dr Slaa!muziki wake wanaujua!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
We cjui una umri gain?make sio nianze kumbe tatzo lako ni umri hautoshi

kwa taarifa yako mi ni mtu mzima na elimu yangu hailingani na ya mbowe hivyo ni. mi great thinker
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom