Hivi Dr SLAA bado anaendelea na ziara ya kukagua uimara wa chama?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Wana Jamvi,

Kwa mujibu wa Ratiba niliyonayo ya ZIARA ya Babu SLAA kukagua uimara wa CHADEMA, inaonesha kuwa leo yupo Sikonge, Tabora. Tumeshuhudia akiwa kule Kigoma mbwembwe zilikuwa nyingi zilizoambatana na picha za kutengeneza kwa lengo la kumbeba babu slaa. hata watu walipowashtukia na kubainisha ukweli huku picha halisi zikiwekwa ambazo zilitawaliwa na mabango ya kumpinga, watu kama akina Yeriko Nyerere bila ya mishipa ya aibu waliibuka na kusema kuwa mtandao ulikosea kutuma picha zile.

Nawasilisha.

RATIBA YA ZIARA YA DR SLAA.jpg
cc: Molemo, Mohamed Mtoi, Kurugenzi ya Habari, Michael Aweda, Yeriko Nyerere na Ben Saanane
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,013
2,000
Mkuu, sijui huko Sikonge leo atawaambia nini. Huyu mzee amefilisika kisera

Slaa kashagundua kuwa wamechemka sana kumfanyia Zitto uonevu. Sasa wanakimbia ofisi kwenda kujichimbia mikoani ili wapate sababu ya kutokuitisha vikao vya kujadili swala la Zitto. Hili swala wataliacha mpaka mwakani!!!
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Babu Slaa hapa anaonewa bure. Na uzee wote ule anaweza kukagua kitu?
Mkuu, kwanza yeye mwenyewe amesikika akisema kuwa chama bado hakijawa imara kushika dola. Sasa sijui anakagua nini? Au ndo mpango mzima wa kupiga posho
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Slaa kashagundua kuwa wamechemka sana kumfanyia Zitto uonevu. Sasa wanakimbia ofisi kwenda kujichimbia mikoani ili wapate sababu ya kutokuitisha vikao vya kujadili swala la Zitto. Hili swala wataliacha mpaka mwakani!!!
Kumbe aiseee. Lengo lao wampotezee Zitto ili asigombee nafasi ya uenyekiti. Wanajua kuwa hawana ubavu wa kushindana naye. Pia wanajua kuwa hawana ubavu wa kumfukuza Zitto
 
jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
1,195
Mmeweka post wenyewe alafu mnachangia watu wawili 2, nyinyi ni janga , Taifa likiwa na watu kama nyie ni taifa lisilokuwa na matumaini, mmekuwa janga katika familia zenu na taifa kwa ujumla, hasara kwa taifa ni kwamba tu mnaongeza idadi ya watu lakini pengine hamstahili kuitwa watu .
 
reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,211
2,000
Sidhani kama anakagua uimara wa chama kama chama labda anachojaribu kufanya ni kukagua uimara wa chama bila Zitto., au kwa kifupi ni kuangalia nguvu ya Zitto.....Ni SWOT analysis ili kuangalia how powerful Zitto is kabla hawajafanya maamuzi ya ama wamvue uanachama au wamwache na uanachama wake.
 
chishango

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
847
500
Mnajitekenya na kisha mnacheka wenyewe kweli ninyi vijana ni janga la taifa letu tukufu she....ntaipu kabisa......!!!!
 
Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,836
2,000
Mnajitekenya na kisha mnacheka wenyewe kweli ninyi vijana ni janga la taifa letu tukufu she....ntaipu kabisa......!!!!
Mkuu,
Hawa jamaa wamefanya JF kuwa kijiwe cha wendawazimu.
MODS wanawaona na wanaona kwamba wanafanya sawa.
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
13,673
2,000
Mmeweka post wenyewe alafu mnachangia watu wawili 2, nyinyi ni janga , Taifa likiwa na watu kama nyie ni taifa lisilokuwa na matumaini, mmekuwa janga katika familia zenu na taifa kwa ujumla, hasara kwa taifa ni kwamba tu mnaongeza idadi ya watu lakini pengine hamstahili kuitwa watu .
Na mimi nashangaa anaandika huyu anajibu yule, ukihesabu unaona ni watu wawili!
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,013
2,000
Sidhani kama anakagua uimara wa chama kama chama labda anachojaribu kufanya ni kukagua uimara wa chama bila Zitto., au kwa kifupi ni kuangalia nguvu ya Zitto.....Ni SWOT analysis ili kuangalia how powerful Zitto is kabla hawajafanya maamuzi ya ama wamvue uanachama au wamwache na uanachama wake.

Pamoja na kukusanya posho kwa ajili ya Christmas
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,870
2,000
Mmeweka post wenyewe alafu mnachangia watu wawili 2, nyinyi ni janga , Taifa likiwa na watu kama nyie ni taifa lisilokuwa na matumaini, mmekuwa janga katika familia zenu na taifa kwa ujumla, hasara kwa taifa ni kwamba tu mnaongeza idadi ya watu lakini pengine hamstahili kuitwa watu .

Kiongozi,kumbe na wewe umelishitukia hilo? Ikabidi nianze kucheka,yaani misukule ya ccm kweli inatapatapa haioni wapi pakuingilia na kutokea.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Mnajitekenya na kisha mnacheka wenyewe kweli ninyi vijana ni janga la taifa letu tukufu she....ntaipu kabisa......!!!!

Mkuu,
Hawa jamaa wamefanya JF kuwa kijiwe cha wendawazimu.
MODS wanawaona na wanaona kwamba wanafanya sawa.

Na mimi nashangaa anaandika huyu anajibu yule, ukihesabu unaona ni watu wawili!

Kiongozi,kumbe na wewe umelishitukia hilo? Ikabidi nianze kucheka,yaani misukule ya ccm kweli inatapatapa haioni wapi pakuingilia na kutokea.
Muwe na kawaida ya kujibu hoja. Hapo ndipo bavicha mnapojitoa umaana
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Hakuna hoja hapo, mpigie simu mwenzako umwambie zamu yake kuweka post

mkuu, hoja ya msingi hapa ni kutaka kujua ikiwa Dr Slaa bado anaendelea na ziara yake au imeisha. Maana tangia jana hali ni kimya kabisa
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
kwa bahati mbaya wote waliopewa nakala wapo kimya. Ndo kusema chadema wamekata tamaa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom