Hivi dots/nukta iliyopo/zilizopo kwenye Button namba 5 za SIMU zinamaana ganii???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi dots/nukta iliyopo/zilizopo kwenye Button namba 5 za SIMU zinamaana ganii????

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mdau Makini, Sep 30, 2012.

 1. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ndugu waungwana, mimi naomba mnitoe ushamba katika hili,SIMU nyingi zina Dot au hata kama sio Dot basi ni Alama fulani mithili ya dot tofauti na Button zingine kwenye Button namba 5. mfano;Nokia E5, Nokia E72.... Hiyo ni mifano kiduchu zipo nyingi.Hivi hizi dot zina maana gani??,au zina kazi gani???...au zina uhusiano gani na hii Button??.Naomba msaada wenu waheshimiwa japo sina uhakika kama hii thread ndo ilibidi ni Post hapa!.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  vipofu ndio wanazozitumia ..kila simu inakuwa nazo
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ili uweze kujua kidole kiko wapi bila kuangalia keyboard, ni muhimu zaidi kwa wenye matatizo ya kuona ila mtu yoyote anaweza kutumia.
   
 4. M

  MLEKIZAYO Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wanatumia vpofu kwan alama hyo ipo kla kwenye smu yenye keypad na si softtouch.ila waapuuz wanadai n alama za freemason
   
 5. k

  kalumuna Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  yeah kama waheshimiwa walivyosema hapo juu,hizo alama ni kwa ajili ya vipofu au wasioona au kurahisisha namna ya kuchapa haraka katika uchapaji(typing) mfano zipo pia kwenye keyboard J and F Kusaidia namna ya kupanga vidole ktk uchapaji
   
 6. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ahsante sana kwa majibu mazuri waheshimiwa, mmenifumbua macho inaonekana na mimi nilikuwa kipofu ninaye ona katika hili.
   
 7. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  watu wa dizain hiyo wananikera kweli kila kitu free mason wanaipa promo ya bure
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ipo hata kwenye remote control........
   
 9. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  thnx wakuu!
   
 10. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 180
  I believe 100% that freemasons are behind the scenes of everything you hear, see & touch!

  KAMA HUAMINI BASI TAMBAA, SIPENDI NONGWA. :popcorn:

  Mia !! :poa:
   
 11. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Huo ndiyo ukweli mkuu %100
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa mamitooo....
   
Loading...