Hivi Diploma in secondary ya mwaka 2015 hasa mchepuo wa art haikua rsimi au ninini?

kianja kyamutwara

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
200
206
Kama mada tajwa ikumbukwe kabla ya ujio wa Diploma in primary kulikuwepo Diploma in secondary sasa katika mfumo wa ajira tangu mwendazake akiwepo hawajawai kufikiriwa imefikia hatua wahitimu wenyewe wanadhani labda haipo kwenye mfumo inahuzunisha ninaonelea kama wanajua ajira ni kidogo namna ile wajaribu kubalance angalau kila koz wabebe japo kidogo. Kuna mdogo wangu anasononeka ananiambia sasa siningesoma cheti ninamuambia ungejua ila ndo hivo. Unaajir shahada masomo.yaleyale unamuacha Dp serikali.angalia sana hili maana ajira hiz zinaweza leta taflan kuketa makundi.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom