Hivi hizi dini za Kikristo ni za kweli?

Ni ngumu kueleweka na si rahisi kutema sumu mlizomezeshwa,na kuachana na hayo yakupasa ujitoe kwa nguvu zote...

Hebu tutathimini haya,je mungu kama yupo yuko wapi au tulishawahi kumsikia wap na anafananaje fananaje?,na je ulishawahi kuona au kusikia uwepo wake mahala fulani?

Je huyu mungu wenu ni mwenye amani na mnyenyekevu kwa watu wake?,kama ni hivyo na inaaminika yeye ndo muumbaji wa kila kitu kaktk ulimwengu...

Kwanini aliumba mabaya na mema?,ni nini kilichomfanya aumbe ubaya wakati si jambo sahihi kwann asingeumba mambo ya wema tu...analeta mambo mabaya machafu yasiyo faa huu ni upuuzi kuamini kuna mungu na ni mchezo mchafu unaoendelea kuchezwa kwenye vichwa vyenu ni upuuzi,dini gank hizo zinasadiki fedha na wengine wanathubutu kulaghai mpka mikitano mikuu na kuasa kuwa mungu anatoa utajili ..

Ni ujinga na upuuzi kuamini kitu kisichokuwepo,najua hamuwez kuacha kuamini huyo mungu wenu msie mfaam..NA ASIYE KUWEPO.
View attachment 719918View attachment 719919View attachment 719920
Jibu hili swali, kwanini unapovuna mahidi huvuni na mabua??????? Usitumie akili nying... angalizo
 
Rudini kwa mababu zenu, walikuwa hawana hayo mauza uza. Na waliishi vizuri bila shida! Dini dini, mnaporwa!!!
 
Katika noti za elfu kumi uwezekano wa kupata noti feki ni mkubwa sana lakini kwa shilingi hamsini au mia siyo rahisi kukuta feki,pia kwenye vitu vya dhamani kama almasi na dhahabu vivyo hivyo kukuta feki ni rahisi lakini huwezi kuta jiwe tuu la kawaida likawa feki.Ndivyo ilivyo kwa ukristo dhidi ya imani nyingine.Mimi nitashika hii ya thamani hata kama kuna feki nyingi.
 
Umeqoute koment yangu bila kujibu hata swali moja zaidi ya kuandika mambo yako yasiyo na ushahidi.
Nikufundishe tu hakuna sehemu eti yesu kiswahili, issa kiarabu ni uongo.
Tafuta biblia ya kiarabu angalia sehemu anapotajwa yesu utakua pameandikwa yasu Kiarabu hii isa mnafosi.
Yesu Kiswahili, jesus Kiingereza, yasu kiarabu.
Acha kupotosha halafi jibu maswali yangu
We kweli kiande uwezo wa kusoma jambo na kulifikiri ni mdogo ndio maana ni mkiristo maana nyie huwa mmaamin bila kuhoji...sijazungumza habari za yesu kwenye bible ya kiarabu we umejibu sio umeyatolea wapi..wewe swali lako lilikuwa kuhusu Allah ukamnabisha na vitu ambavyo nishakutana na watu mama wewe wanasema Allah ni mkuu wa majini nimekujibu kutoka kwenye biblia hata yesu alitumia jina Allah kwa kiibrania wanaita Ellah yesu hakuwa anaongoea kingereza hakuwahi kutumia neno God...na pia kuhusu Yesu hilo sio jina lake ndio kitu nilichokuambia hajawahi kulisikia kwenye maisha yake...nimekupa na mfano ambao mwenye uwezo wa kidogo wa kuhojina kufanya tafiti atanielewa jina JESUS ni jina la kulatin na liliamza kutumika kwenye bible ya kilatin miaka 300 baada ya Yesu kuondoka jina lake halisi mama yake alimuita aliitwa Iso na jina lake lingine lilikuwa Yoshua sio jesus wala Yesu ni kitu kipo wazi hakihitaji hata kubishana..shida ya ukrist bible ya kwanza kabisa kukubalika kutumika ilipatiakana miaka 300 baada ya yesu kuondoka imepitia mikono mingi sana watu we twist maandiko walivyotaka ili yaendane na wanayo yataka wamehamisha dini kutoka kwa wahayahud had ikawa ya wazungu...na hapo ndio walipoanza na kubadili majina ya mitume yafanane na ya kwao kutoka kwenye majina yao halisi.!...rejea post yangu uliyo reply nimekupa na mifano ya majina halisi yaliyobadilishwa.!
Umeqoute koment yangu bila kujibu hata swali moja zaidi ya kuandika mambo yako yasiyo na ushahidi.
Nikufundishe tu hakuna sehemu eti yesu kiswahili, issa kiarabu ni uongo.
Tafuta biblia ya kiarabu angalia sehemu anapotajwa yesu utakua pameandikwa yasu Kiarabu hii isa mnafosi.
Yesu Kiswahili, jesus Kiingereza, yasu kiarabu.
Acha kupotosha halafi jibu maswali yangu
 
Kuna mwingine kaibuka anaitwa Mwamposa huyu jamaa anatisha kweli kweli vile anajua kucheza na mazingaombwe asee wamama karibu dar yote kawateka
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
Mdau hayo mapicha picha yako.... wanatumia oxygen hao au hewa gani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini kuna supernatural power ambayo imepelekea kuwemo kwa dunia hii na kuwepo kwa viumbe hai akiwemo binadamu. Najua kuna source ya yote haya na ndio ninayoiamini

Ni mseminary mzuri tu mimi ila muda mwingi huwa nawaza nje ya boxvna kuona kuwa hizi dini zinatudanganya tu na kutunyonya. Ni propanganda zisizo na maana.
Uko sahihi kabisa kuamimi.... lakini unadhani kuna kitu anapoteza mtu mwengine hasipoamini kwenye hiyo super natural power???. Imani yako inakuambia nini kuhusu wasioamini hivyo?... je, wanafanya makosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Jamaa Vipi, kwani Dini ya Mababu zako Ilitajwa na Mungu.
Na mlikua Mnaabudu Mizimu.
Tena enzi hizo kila unachokiomba unpata kwa mizimu yenu
Skuizi mnajifanya watakatifu Pumbavu Shida, Njaa, ukame, Uzinzi kibao. Mungu ni Mungu wa Wote tu Cha Muhimu Upendo.
Kila kitu walikuwa wanapata hahahah..... walikuwa hawapati kila kitu mwisho wa siku walikuwa wanafikia conclusion kwamba mizimu imegoma kwasababu labda kazaliwa mtoto mlemavu, mwenye albinism.... (hiyo mizimu nayo ilikuwa ignorant kama wahusika wenyewe). Yaani mawazo ya wahusika ni mawazo hayo hayo ya mizimu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/Tb Joshua/Lwakatare/yule wa Dodoma/Mwingira/mzee wa Upako/Gwajima/Massanja/Flora/wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele..!
Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa...
View attachment 703418 View attachment 703419 View attachment 703420 View attachment 703421 View attachment 703422
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani?! Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi Dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la ?! Kunani lakini?!
kilichokutuma na kuamini kuwa hawa ni wakristo nini kwenye picha hizi?
 
hawa ni freemason wala sio wakristu hakuna nguo kama hizo na kofia hizo muwe makini
 
Dini iliyobaki inayofundisha mapenzi ya MUNGU na neno lililo hai na la kwel,dini inayofundisha kurudi na marejeo ya kristo mara pili,dini inayofundisha kuishi na kuzishika amri kumi za MUNGU kikamilifu,dini inayofundisha hukumu na haki za MUNGU, dini inayofundisha unabii wa kweli wa neno la MUNGU na dini inayofundisha ufufuo wa wenye haki pale kristo ataporudi akiwa na jopo la malaika ni SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH(S.D.A).
Njoo ujifunze neno la MUNGU katika kweli achana na madhehebu ya miujiza hayo yatakupoteza mpendwa,mshukuru MUNGU kwa kukupa mwanga wa kuyatambua hayo.

THE SECOND COMING OF JESUS CHRIST IS SURELY,BE PREPARED & BE READY
ad42926ec012afe5e02c786a318a5f22.jpg
09d395465e293d4c6f2301889c440105.jpg
Hawa kwenye picha ni nani?? Njiwa au??
 
Peleka ushenzi huko kwenye makambi..

Yani unataka kuniambia hicho kikundi kilichoanzishwa na mwanamke Ellen Gould White mke wa Bw James White, tena mkulima wa massachusset mwaka 1863 ndio dini...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wanaopinga utatu Mtakaifu na Ufufuko wa Yesu ndio dini ya kweli...???

Yani unataka kuniambia hawa hawa SDA wahuni waliomsingizia Yesu kuwa kajificha mbinguni kwenye uchochoro eti anafanya hukumu ya upelelezi..??

Hebu wacha ushenzi wewe...
Nadhani angekuwa karibu ungemzaba zabua vibao . Hasira ni alichokisema au ni NIDA ..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini kuna supernatural power ambayo imepelekea kuwemo kwa dunia hii na kuwepo kwa viumbe hai akiwemo binadamu. Najua kuna source ya yote haya na ndio ninayoiamini

Ni mseminary mzuri tu mimi ila muda mwingi huwa nawaza nje ya boxvna kuona kuwa hizi dini zinatudanganya tu na kutunyonya. Ni propanganda zisizo na maana.
Soma mkuu
 
Acha uongo ndugu, Kuna vitu vya kujisifia. Hivi nyie vijana wa muhammad mnataka kukuniambia kuwa nyie kwenu(Kwenye uislam) hakuna mivutano?? Ukiachana na hayo dini yenu pia ina mashaka sana, dini inajitapa ni yamani lakini kujitoa mhanga na kuua wasio na hatia na kujilipua ovyo ovyo ndio imekuwa fashion

Happy dude
 
Back
Top Bottom