Hivi daraja la pili pale Ubungo interchange (Barabara ya Mandela kwenda Sam Nujoma) la kazi gani?

Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Tunawasikiliza zaidi waganga kuliko wataalam
 
Yani "ujinga ungekuwa unafanya vichwa vya watu vinabondekabondeka nakwambia humu mitaani tungeona maono"; wahenga walisema!
 
Kuna muda utafika mtaanza kupinga kuwa wazazi wenu sio biological father/mother. Ukizoea kupinga kila kitu unafika sehemu kwenye Jamii unaonekana MPUMBAVU tu.
Wameshaanza kupinga eti kule nyuma sio kwa ajili ya kinyeso wanataka kuhalalishwe kwa matumizi wanayojua wao.
 
Hayo mambo mengine ya kitaalamu hata sina cha kusema, mi kuona jinsi zile lami zilivyopishana pishana, nashindwa kuelewa walishindwa kuweka level?

Unatokea liverside kuelekea darajani, unakutana na lami imenyanyuka kama step ya ngazi, unamaliza mzunguko wa pale chini, unashuka ngazi, kabla ya kukunja kwenda chuo unapandisha ngazi, upande wa pili ni vivo hivyo, hivyo vituta tuta vya nini?

Hivi lile la juu kabisa ndo linavusha magari kutoka liverside kwenda Survey sio? Na lile la kati linavusha kutoka shekilango kwenda Korogwe sio? Pale chini ndo liwalo na liwe sio?

Sidhani kama WAZARAMO watachanganyikiwa wajikute magomeni.
Mwenzangu visingewekwa sikumoja ungekuta semi limekata upepo juu ya daraja
 
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Chadema nayo inawafuasi na wananyama wenye akili!
 
Binafsi sijaona hilo daraja, ila kama magari yanayotokea mwenge kwenda buguruni yanapita juu, na vilevile yanayotokea kimara kwenda posta yanapitia juu na ground kabisa hakuna barabara, basi huo ni utopolo
 
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.

Ndio maana tunasema masomo yenu feki
 
Mwenzangu visingewekwa sikumoja ungekuta semi limekata upepo juu ya daraja
Vipo barabara ya chini kabisa, na haviwezi kusimamisha hata Passo ikifeli breki, vinasaidia kulegeza shock up tu.
 
Hivyo ni kumu alert driver ile aende mwendo wa pole pole sio anaingia tu kama barabara ni yake pekee yake, ukitulia maanani kuna mwenyekukata kushuto mwingine kulia from mwenge na mwingine toka buguruni na mwingine from town, na mwingine from Ubungo
 
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee.

Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam Nujoma na Mandela road lipo kwa kazi gani? Umeenda kujenga juu halafu barabara ya chini umeua wakati kwa ile ile poor design ungeweza kutanua barabara ya chini ukapata michepuko ya pembeni kutokea barabara ya Mandela kwenda Kimara kupitia ya Morogoro vile vile ungepata straight kutoka Mandela kwenda Sam Nujoma na wanaotokea upande wa Ubungo kwenda Mwenge wangeenda kujengewa round about njia panda ya chuo kikuu.

Kwa kutumia ubunifu huu walau pangeonekana afadhali. Yale madaraja yalivyopishana pale yameonekana kituko cha aina yake.

Yani nashangaa na watanzania wanasambaza video! Tunajidhalilisha sana.

Yani kwa ufupi lile daraja la pili ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Achilia mbali ujenzi wote ni wa hovyo hovyo usiozingatia utaalam hata kidogo.
Weka picha bwana weee vichwa vimejam hata sielewi unaongea nn
 
G.Sam unavyopinga kila kitu ukifikiri ni akili umefanya wengi humu tunakupuuza sana. Yaani uzi zako ni za kupuuzwa siyo za great thinkers. Fikiria kuanza kuandika zaidi kwenye facebook na badoo. Hili jukwaa la Great Thinkers nafikiri limekuzidi. You dont think objectively. I dont intend to hurt you, but it is compelling. I have learned that while those who speak about one's miseries usually hurt, those who keep silence hurt more. Siyo kubisha kila kitu ndugu yangu Jitafakari na chukua hatua.
Jamaa huenda sio mtanzania kwahiyo anaumizwa na maendeleo ya Tanzania. Kumbuka nchi yetu ina raia wa nchi mbali mbali ambao wako humu kujifanya watanzania lkn hawaipendi Tanzania, na hawa ndio wale wanaoumizwa kila siku na maendeleo yanayofanywa Tanzania.
 
STUPID. Jibu hoja yake sio ujinga huu. Mwisho utaomba akusugue!
Hauwezi kumjua mchawi bila na ww kwanza kuwa mchawi, pia hauwezi kumjua msuguaji bila na ww kwanza kuwa msuguliwa. Nafikiri umenielewa vizur ww mliwa jich.o la kati
 
Kile ni upuuzi mr. Engeneer. Sawa tumekubali

Sasa kwann usitupe the best design based on your analysis of the problem at hand!?

Kwa design ile tuna designated over pass kwa ajili ya magari yanayotoka mwenge kwenda Buguruni...na nyingine inayotoa magari Kimara kwenda mjini. Chini tuna round about inayosaidia magari kuhama kutoka sam Nujoma kwenda Morogoro road and vice versa.

Best design for the problem. Sasa sisi tumeishia hapo.. wewe utufungue tumekwama wapi ili tujifunze tusirudie.

Kuhusu ubora hili linanitisha zaidi ..kama wewe ni mtaalamuna utusaidie kabla madhara hayajatokea.. sio ingine uje useme nilisema tuambie kama tumezingua tuifunge tusije ingia kwenye majanga ya kitaifa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alikataa kusoma physics, akachambua kina Ngoswe saiv anajiitia uelewa wa Engineering,
Hana anachojua yeye ni kupinga tu.
 
Back
Top Bottom