Hivi Dar kuna kampuni inayokopesha gari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Dar kuna kampuni inayokopesha gari?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, Jan 28, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wakuu naona sasa kila nikizikusanya zina pelea sasa naomba kama anayejua kampuni inayo kopesha gari kwa watumishi/wafanyakazi Dar anisaidie make naona ndoto za kuwa na usafiri wa miguu 6 inashindikana kutimia.

  Nawasilisha.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  nani anazimaliza?
  Hope wadau wapo watakupa info.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ziko ila kuna kitu fulani nikujulishe kuna watu wanaweza kukufuta wakukopeshe au wakupe gari ili uwape pesa ( mkopo ) wengi wao ni matapeli wanakupa gari ukimpa pesa anaenda kushitaki kwamba gari yake imeibiwa Kasheshe utajaza wewe mwenyewe
   
 4. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nenda TANZUK- ni kampuni dada wa DT Dobie watakufanyia hire purchase
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Asante kwa angalizo
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  hawa wenye maduka ya kuuza magari huwa wanakopesha pia, lakini mpaka mwajiri wako akubaliane na masharti yao.
  hebu pitapita huko upate taarifa zaidi.
   
Loading...