hivi daktari msichana akifanya mapenzi siku za hatari(kupata mimba) afanye nini ili mimba isitungwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi daktari msichana akifanya mapenzi siku za hatari(kupata mimba) afanye nini ili mimba isitungwe?

Discussion in 'JF Doctor' started by TONGINDI, Jun 9, 2012.

 1. T

  TONGINDI Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naomba kama wewe siyo daktari usiandike chochote!
  sihitaji porojo za makanjanja!
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kondom ilitoboka au?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,468
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  acha uzinifu utakufa wewe....matangazo yote haya bado unapigwa kavu tu...kesto lite hizo zitawatokea puani shauri zenu
   
 4. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,717
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  ale michaichai
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Jinsi ulivyoweka swali lako...........duh!
  Mie nilijua unauliza...... "iwapo daktari mwanamke akifanya mapenzi siku za hatari afanye nini ili mimba isitunge......"
   
 6. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,642
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ndani ya masaa 72 awe amemeza emergency contraception ambazo anaweza kununua katika duka la dawa, AMA emergency loop to inhibit implantation kabla ya day 5.
   
 7. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,632
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  ukimaliza kumchabanga, mwambie achuchumae , itatoa ile mbegu by dr mkm
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,807
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kuna tofauti gani kati ya daktari msichana na msichana?
   
 9. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 469
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndio maana tume ya katiba kwenye uzi mmoja amewaita madr wa kuchoma sindano.Yaani wewe dr hujui ufanye nn tafuta emergency contraceptive/morning after pills or commonly known as 72 hrs as the name suggest isiwe imezidi masaa hayo la sivyo ni bora usimeze
   
 10. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  pumbaf acha tamaa, si usubiri awe safe au 2mia kondom, unataka umpe mavidonge ili anenepe afu umkimbie, sheinz type!
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  think twice mkuu sio unakurupuka

  aliyeuliza swali lengo lake ni kuonyesha tu kwamba kamtia daktari, nothing more'

  hata nesi hawezi kuja hapa kuuliza afanye nini

  its ridiculous
   
 12. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hapo nilipoweka heruf kubwa hujaeleweka mkuu.
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  its ok... mleta mada ataelewa

  umeshawahi kutiwa???
   
 14. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,158
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Wewe jana ulishauriwa usifanye ukaona huwezi kosa uhondo lea mimba ulifanya maksudi acha kuja na ukali
   
 15. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,158
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Tena jana kauliza kaambiwa asifanye akaona bora afanye sio wa kumpa hata ushauri
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi, nafikiri sisi makanjanja tuliambiwa tusicomment but naomba kama mwl nimweleweshe kuwa alitakiwa aipunctuate manake ilivyokaa ina maanisha kitu tofauti kabisa na anachotaka yeye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mleta maada hajajipanga kueleweka bali ametoa sentensi tata
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  angekunywa morning after pills,

  ushauri wa bure, kama huwezi kudhibiti mihemko yako, tumia condom
   
Loading...