Hivi Clouds Media saa nyingine mnahongwa?

Ningekuwa na uwezo wa kuhack na kuifungia cloud hakika ningekuwa nilishaifungia siku nyingi sana!.......cloud is the worsest media i ever saw!
 
Kama akili yako sio mgando na tofali la simenti kabisa, umenitaja mimi tena kiuoga wa nini? Na hao wabunge wanawake wananisaidia nini mimi katika maisha yangu? Siku ingine pita mbali hukooooooooooo
58e14c298840da5cdbe36d3170e19f29.jpg
 
Clouds Media nawashangaa sana! huwa mnaonesha udhahifu mara nyingi. Leo nimeona tangazo juu ya siku ya wanawake, likionesha jinsi Tanzania ilivopiga hatua kwa kuwa na wanawake walioshika nyadhifa za juu especially bungeni, ni kweli lakini picha wakamwonesha nahibu spika na Mama Salma!!! , hivi mama Salma amehudhuria hata kikao kimoja cha bunge? Mbona wa bunge kibao waliogombea majimbo na wakashinda kwa kishindo hamjawaonesha? au niseme wabunge wanawake wa muda mrefu hamjawaona? Hao ndio malkia sababu wana michango ambayo hata hoja zao zimekuwa implemented mara nyingi kusaidia nchi. Mtu hata hajaapa eti ndio mnamtangaza utafikiri ana jimbo!

ACHENI HIZO MAMBO!!!
Siyo wakati mwingine. Always
 
Huyu naye alikuwa anahojiwa clouds lakini mpiga picha hakumwambia akae vizuri
 

Attachments

  • 20170304_092100.jpg
    20170304_092100.jpg
    79.3 KB · Views: 34
Back
Top Bottom