gowele57
Member
- Aug 11, 2016
- 52
- 41
Wakuu binafsi nimechoka kumtazama mtangazaji wa kipindi cha Clouds Habari kinachorushwa na kituo cha Clouds Tv. Jamaa anasoma habari vizuri lkn sioni kama kuna ulazima wa yeye pekee kusoma habari kila siku kwani hata pizza ni tamu lkn si kila siku utapenda kula. Kaka Kapiga wapishe na wenzako.....