Hivi Clouds FM ni CCM/CHADEMA/CUF au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Clouds FM ni CCM/CHADEMA/CUF au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by neggirl, Jun 14, 2011.

 1. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hebu wadau wanoelewa vizuri watujuze.. nimesikiliza mjadala wao leo asubuhi kwenye Power Breakfast kuhusu ishu ya Mbunge kukataaa posho... hahaha aaaa utafikiri wametumwa ... duh..
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  watakuwa jahazi asilia hawa...
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chausta maendeleo
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  hiyo ni CCM - "C" kama ulikuwa hujajua hadi leo.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa CHAUSTA uwiii.nilikutana na mwenyekiti wao Mapalala James pale morocco anagombania kupanda daladala ya kwenda mwenge..hahaaaa
   
 6. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Nakuja, ngoja nimtafute Mh. Tendwa kwanza ... hahahaaaaaaaaaaaaaa
   
 7. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mmhh ...ukilink na lile tamasha lao la uzalendo mmhh....
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Ni wapuzi wale, hawana naninihii kabisaaa, siwaelewi na nadhani wanachangia kutufanya sisi vijana tuonekane kama akili zetu ni kama zao
   
 9. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kumbe kuna watu bdo mnaisikiliza hiyo redio ya wafu!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  CCM kujikomba hawana lolote!
   
 11. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna siku nilishuka kwenye daladala baada ya hao jamaa hasa Hando .G kuongea ujinga,hiyo ilikuwa asubuhi,kufika jioni nako nikakutana na mpuuzi mwingine anajiita kibonde yaani hawa watu wanauzi sana.
   
 12. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  nafikiri ni wataalamu wazuri sana wa kupotosha issues na kufanya uongo kufanana na ukweli
   
 13. MANI

  MANI Platinum Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole pole ingawaje ni kweli
   
 14. T

  The Priest JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sijui tasnia ya habari inakwenda wapi?tatizo sekta ya habari wanakwenda kusoma vilaza,hawana uwezo wa kuchanganua mambo pia kujua nini umuhimu wao kwa umma!its much better mtu uangalie chanel za Kenya tu,au uingie Jf..
   
Loading...