EIGHTIESTHROWBACK
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 328
- 275
Hulu jamaa mtu wa ajabu sana
Kwanza presentation yake ni ovyo kabisa. Naibu Waziri mzima anavaa vinguo via kumbana utadhani mtoto mdogo au sijui anakuwa dressed na sheria ngowi (designer of choice wa badhi ya wakubwa serikalini na suti zake utadhani za ma teenagers, zinabana na haziendani na waavaji). Hihi hawa watawala wetu hawapewi bajeti ya viwalo au bas tuu?
Pili inavyoonekana ni mtu abbaye hafikirii kaba hajasema kitu au kufanya maamuzi. Hii inanifanya nijiulize kwa nini anapenda sana hii style ya Management By Walking About (MBWA)? Ina maaana hawezi kufanya jambo bila kuita media na ku court unnecessary publicity?
Nashindwa kuelewa, hutu jamaa game plan yake ikon capo kwa bali nanaikumbusha Lazaro Nyalandu laking huyu inaonekana ndiye among other things, Minister of Propaganda and his own chief of Propaganda.
Ushauri wa bure, considering ni naibu waziri mpenda publicity kwa nini sai outsource hiyo kazi ya kumpromote kwa wengine halafu aka stick to what he knows best....?
Haiti wiki anajibizana na akina mange kimambi au media. Hii inanifanya kuamini kuwa huyu jamaa ana ambitions zingine na sidhani kama yuko serious na kazi yake
nana eye pia ndiye anaye edit wikipedia page yake and he has a very interesting website ambayo bad naipitia na kufanya fact checks
Hamisi Kigwangalla - Wikipedia, the free encyclopedia
http://www.hamisikigwangalla.com/biography/