hivi chid benz ni memba wa la familia au tip top connection? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi chid benz ni memba wa la familia au tip top connection?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by minda, Aug 11, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wakuu,
  kuuliza si ujinga.
  labda kwa vile mimi sio shabiki sana wa tasnia hii ya bongo fleva na hip hop
  au kwa vile huwa nam associate benz na jamaa kassim wa amore; ambaye nilikuwa najua ndio waanzilishi wa la familia,( kundi linalojifananisha na kundi maarufu la wajamaa wa mihadarati kwa jina la yesu huko mexico ); na wakati huo huo huyu kassim naona yupo tip top connection.  kwa maneno mengine, je tip top connection ndio la familia?
   
 2. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2010
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tip top makazi yake ni manzese na la familia ni ilala, kwa ninavyojua mimi chid benz ni wa la familia
   
Loading...