Hivi chama cha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) cha miaka 1980-1990 bado kipo?

Status
Not open for further replies.
Kila association ina caucus yake....wengi pengine mlikuwa wadogo au hamkuwa mjini wakati Mzee Mtei alipoanzisha chama hiki mwaka 1992 na akina Makani(Msukuma),Kimesera(Mmasai),Ngwilulupi(Mnyakyusa),Kabourou (Muha)Franco Kabigi na baadaye dada yake Maria(Wanyakyusa) na wengine wengi...Mchagga alikuwa Mtei tu pale Kisutu Street...na huyu mzee alikuwa anazunguka na gari yake huku na huko kutafuta wanachama na hakuna aliyemsikiliza...naturally familia yake na za hao wenzake zilijiunga na kumuunga mkono...sasa leo watu wanapodai ni chama cha Mtei na familia yake, udini,ukabila,ukanda kwa kweli siwaelewi kabisa...mnasahau kabisa kuwa awali watu hawakukichukulia seriously hiki chama....Mtei akaona imetosha akang'atuka akamwachia Makani....nae akaona imetosha akamwachia Mbowe...naye wakati wake ukifika atamwachia mwingine

Hakika umenena mkuu, kwa wasiojua historia ya Chadema wanaweza kupotoshwa na propaganda za watu, Ila ukweli ndio huo. Kuna kipindi Mwalimu JK. Nyerere (RIP) alishawahi kusifia sera za Chadema. Lakini Chama hakikuwa na umaarufu hata wa kusimamisha mgombea urais. Kwa kweli Mtei, Bob Makani among others walifanya kazi kubwa sana, lakini pia mchango wa Mbowe na Sasa Dr. (PhD) Slaa umekuwa mkubwa na wamejitolea sana kukiimarisha chama.

Ili kuondoa wingu na propaganda juu ya Chadema nawaomba viongozi wa Chadema watubandikie historia ya chama japo kwa ufupi tu. Wengi tutafurahi
 
kama kilikuwa cha kuwasidia wachaga je maswa magharibi kuna mchaga nani mpaka wakachagua chadema,hizo ni propoganda za ridhiwan na washika wake kama akina simon robert.
 
Kweli tuna kazi; mwingine atakuja "nilisimuliwa babu yangu kuwa.." watu wataanza kujadili; na mwingine atasema "mzee moja mkongwe ameniambia".. watu wanakubali tu. This is pathetic. Huyu mzee angesimulia kuwa kulikuwa na "Chama Cha Makanisa na Misikiti ambacho kilianzishwa mwaka 1960 hadi 1977, na baadaye kikabadilishwa na kuwa Chama cha Mapinduzi" kweli kuna watu watakuja na uhakika kabisa wa kuanza kujadili simulizi hilo. This is sad. Ni kweli watu wetu hawana uwezo wa kuhoji maswali sahihi kiasi hiki?
 
Kweli tuna kazi; mwingine atakuja "nilisimuliwa babu yangu kuwa.." watu wataanza kujadili; na mwingine atasema "mzee moja mkongwe ameniambia".. watu wanakubali tu. This is pathetic. Huyu mzee angesimulia kuwa kulikuwa na "Chama Cha Makanisa na Misikiti ambacho kilianzishwa mwaka 1960 hadi 1977, na baadaye kikabadilishwa na kuwa Chama cha Mapinduzi" kweli kuna watu watakuja na uhakika kabisa wa kuanza kujadili simulizi hilo. This is sad. Ni kweli watu wetu hawana uwezo wa kuhoji maswali sahihi kiasi hiki?

Mkuu,

These guyz are on a mission...POKE, PROVOKE, IRRITATE, ANNOY as much as you can!! Humu jamvini wako wengi mno! It is useless to try to reason or argue with them!!!
 
Haiwezekani kiwepo chama kama hicho halafu kisijulikane, kumbuka ccm katika mapambano wasingesahau hilo, huo ni utunzi wa karne hii kuelekea 2015
 
hii kitu ipo ila kwa wakati huu haina haja ya kujadili mambo yatakayo tugawa,kwa wacha,mkiki wandu ewa walweree indo?
 
Uwa sina muda kujibu maswali ya kitoto kama hayo,ila kwa kukusaidia kwa leo......Kwani chanzo cha CHADEMA kuwa Kilimanjaro ni tatizo? Kama ni msomi mzuri wa historia vyama vingi vya siasa vyanzo vyake vilikuwa ni kutoka kwenye jamii mbalimbali mfano wakulima,dini,wafanyakazi nk....nadhani umetumwa ndio tatizo lako...
 
mmmmm......hata me ndio nasikia leo,,ngoja na mm nikamuulize baba yangu anisimuelie japo itakuwa ni hadithi,,hadithi njoo................
 
haya ndio yale majibu mepesi kwa maswali ya msingi? mtu ameuliza afu anaambiwa ni crap? and u call yourself a great thinker? you are a fool,big fool!

kamjibu vizuri,jamaa kaweka title safi,ndani kajijibu alafu kakopi title na kuifanya swali tena? Huo si upompompo? Yeye anajua kuwa ilibadilika alafu anauliza swali ilo ilo! Kama wasomi wangeanza kufikiria kwa mtindo huo? Kila swali lingeandikwa na jibu lake alafu sijui watahiniwa wangeenda kusahihisha au kumcheka mtunzi? Wakiuliza je,mleta mada ni a)mjinga mjuaji, b)mjinga mpuuzi c) mjuaji mjinga d) mjinga mpuuzi,e)all the above f) a,b,c,e. Mi ningejibu: (f).
 
Kk cdm ya zamani sio ya ss hivi hii ni ya wasomi na wa2 wenye akili zao sio ccm yako,alafu chama cha kabila na hiki ni cha democrasia sio development jaribu kutofautisha ww ni kati ya wale wanaosema cdm ni ya wachaga mara wakristo.
Kwa kifupi cdm hii sio ya kidini wala kabila fulani.
 
2010 mlisema hivi hivi! 2020 mtasema tena hivyo hivyo na 2025 mtaendelea kusema!


kweli kabisa,
yan humu ndan ata kama chadema 2mekosea bas watatetewa 2.. Iyo adi ukamilifu wa dahali cdm bado kuchukua nch sababu ya upuuz na utetez WA HOVYO HOVYO wa wanachama wake kama hawa wanaoongea bila kujbu direct..

Kama sio kwel jibun sio kwel. Na sio maneno meng
 
kweli kabisa,
yan humu ndan ata kama chadema 2mekosea bas watatetewa 2.. Iyo adi ukamilifu wa dahali cdm bado kuchukua nch sababu ya upuuz na utetez WA HOVYO HOVYO wa wanachama wake kama hawa wanaoongea bila kujbu direct..

Kama sio kwel jibun sio kwel. Na sio maneno meng

kwa iyo apa we unaona umejibu kwa maneno machache sio?
 
thanks, but let me ask you, what are the similarities and differences between a political party and a manifesto?

Go google: Andika hicho kitu kinachoitwa Chaga Development Manifesto, ukipata nipe link.

Go Google: Andika Edwin Mtei, niambie kama hutapata majibu juu ya unachokitafuta.

tuanzie hapo, then utajua kuwa mtoa mada na wewe unayeunga mkono wote ma-crapist.

CCM sasa hivi ni washawasha. Kila saa mnawashwa tu.

mnawashwa na nini?

Hat ingekuwepo KURYA DEVELOPMENT MANIFEST ( KUDEMA ), HAYA DEVELOPMENT MANIFEST ( HADEMA ), NYAKYUSA DEVELOPMENT MANIFEST ( NYADEMA ) na vinginevyo.... mimi sina neno, cha msingi kwangu kwa sasa ni CCM kuondoka.... then hayo maswali yatafuata.

Naomba tudiscuss hili trh 03/11/2015
 
Huyu jamaa anapotosha jamii na anajaribu kupata popularity kwa maneno ya uongo kusema ukweli akukuwepo hicho chama ila kilikuwepo chama kinachoitwa KIDEFU mean kilimanjaro development fund na kilikuwa lengo lake kusomesha, kusaidi watotot wasio na uwezo wa kusomesha watotot wao waliofaulu kwenda UDSM na mara zote kilikuwa na vikao pale UDSM na viongozi wake walikua ni wanafunzi wa UDSM na walezi walitoka katika Sector mbalimbali ambao walipitia hicho chama kusomeshwa na kupata ajira na pia kilikua kinasimamia maendleo yote ya watu kutoka kilimanjaro kama Kahawa (KNCU), Kilimo, na kuenzi mila na desturi ya waliotoka mkoa huo na zaidi ilikua ni ile campaign ya kusuport watu wake specialy katika serikali ya nyerere ilitokea capampaign ya kufifisha kiuchumi, kielimu nk katika mkoa huo na ndio maana hata kipindi hicho wazee wetu walikua wanaficha udini wao au wanabadilisha majina ilimradi asikumbwe na campaign hiyo.

Sasa wewe mleta mada unataka kuturudisha kulekule tulipotoka ivi hapa kuna nini? mbona ukabila unatawala sana mbona hili kabila linasakamwa na propaganda za uongo na ukizingatia kweli ni wachapakazi?

Tafadhali usitumie propaganda kwa ujinga au uozo uliokuwa nao kichwani lete agenda ya kujenga taifa na sio ukabila or udini ukitaka hivyo kamuulize mzaziwako or kiongozi wako wa kada.
 
well , skeptical about chaggas? Never knew they controll most of your undertakings? The difference is, they are too busy to care about who you are.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom