Hivi CHADEMA zile harakati za kudai Katiba Mpya zimeishia wapi?

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
585
778
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli, sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,

Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
 
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.

Wewe yanakuhusu nini? Pambaneni na zimwi lenu CCM.
 
Matamanio yako ni cdm wasidai katiba mpya, sasa hapa ulipo unapima upepo. Inaonekana sehemu pekee unyopatia taarifa ni jukwaa la siasa hapa jf, hivyo jambo lisiporipotiwa hapa unadhani halipo. Kwa taarifa yako mikutano iko nchi nzima kimya kimya, hadi kuna OCD huko Meatu na Kongwa kwa Ndugai wamegoma cdm kukutana eti kuna tishio la ugaidi. Watu wanakimbiza mwizi kimya kimya. Kama jambo hulisikii haimaanishi halipo, jiongeze nje ya jf uujue ukweli.
etu wMtaana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
 
Hakuna mtu anayejitambua atashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi kwa tume ya uchaguzi na katiba ya sasa. Hivyo hiyo 2025 wala usipoteze muda wako kuisubiri kama mazingira ni haya. Na ikitokea kukawa na mabadiliko stahiki kwenye uchaguzi huo, jiandae kupata msongo wa mawazo maana CCM sio chama cha kizazi hiki.

Ccm endeleeni kuanzisha hicho chama chenu kipya kwa ushirikiano na Tiss ili kuhadaa umma kuwa kuna upinzani, lakini mjue kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke.
25 hiyo inakuja wala haichelewi,Msipokuwa makini 2025 itafika na hakuna hata moja la maana mtakalokuwa mmefanikisha.
 
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
Hatutaki katiba mpya.

Katiba hii imetupa ushindi wa wabunge kwa asilimia 100 na udiwani asilimia 100.

Na baada ya ushindi huo kwa sasa Tz ni kama mbinguni.Umaskini umepungua na ufisadi umekuwa historia.
 
Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli,sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio gaidi,kwn agenda ya katiba mpya imeisha au hiyo agenda ilikuwa ya mr Gaidi.
Bila shaka pengine chama kimejaa vijana waoga na wasioweza kusimama peke yao kupigania wanachokiamini kwenda front line kwa maslahi mapana ya watanzania.
Watanzania wanatazama na wanawapima kama mnao uwezo wa kupewa nchi hii.
UKO WAPI?
 
Wapinzani wanachotakiwa kuelewa ni kwamba
SIASA NI VITA
Kiongozi wa platuni akipigwa risasi sio sababu ya kurudi majeshi nyuma
Kuishinda CCM wapinzani wote inatakiwa waungane nchi iwe na vyama viwili tuu.
Tz ya vyama viwili tuu nawahakikishia ikulu mnaingia

TaTizo wapinzani tamaa nyingi kila mmoja anautolea macho uraisi akina Lipumba,Zitto mpk mzee wa ubwabwa .
CCM itatawala milele
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom