mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Kwikwikwikwikwiiiiiii! Umeona eeeeeh! Safari hii watatumia sana madodoki na misasa ya chuma kumsafisha fisadi
Umesha vote online? Link hio hapo juu.
Kwikwikwikwikwiiiiiii! Umeona eeeeeh! Safari hii watatumia sana madodoki na misasa ya chuma kumsafisha fisadi
Sera zipi Ccm itazinadi zaidi ya kudanganya watu tu. Sera ambazo hazitekekezeki hatuzitaki kabisa. Ccm hata mgesema nini hampiti uchaguzi huu.CHADEMA wana kazi kubwa ya kumsafisha Lowasa. Wakati wanafanya hivyo, CCM itakuwa inanadi sera zake. Kumbuka mpaka wanazindua kampeni kesho, hawajawa na ilani ambayo wataitumia kuomba kura kwa wananchi. Kwa sasa wamepanic na wanatembelea nyota ya Lowasa ambaye kwa hakika amechoka sana
Kama kuna mwaka ambao CCM walishinda kwa kishindo basi na mwaka huu ni mmoja kati ya hiyo. Sababu aliyekua anaichafua CCM na kuitia dowa taswira ya CCM amekwenda kwa walio kua wanaponda.
Kwikwikwikwikwiiiiiii! Umeona eeeeeh! Safari hii watatumia sana madodoki na misasa ya chuma kumsafisha fisadi
Hakuna asie jua kua kilicho ipandisha CDM na kufikia hapa ilipo ni kashfa za ufisadi. Walituimbia Ufisadi 2005 wananchi hatukuwaelewa vizuri.
Wakatuimbia tena wimbo huu 2010 wananchi tukawasikia na kuipenda nyimbo yao hiyo iliyo chini ya waimbaji mahiri kama Zito kabwe na Dr. Slaa, chini ya muandaaji wao Mbowe.
Leo ni 2015 wimbo huo umechuja na haunogi tena.
Kwanza waimbaji wale wametoswa na muandaaji /mwenye bendi. Yani wameonekana sauti zao hazifai tena kuimba wimbo ule.
Alicho fanya mwenye bendi ni kumchukua yule alie beba jina la wimbo na kumpa bendi atunge chochote awezacho.
Swali langu je CDM watakuja na song gani litakalo bamba kampeni hii!?
Sera zipi Ccm itazinadi zaidi ya kudanganya watu tu. Sera ambazo hazitekekezeki hatuzitaki kabisa. Ccm hata mgesema nini hampiti uchaguzi huu. Watanzania wamefumbuka macho hawataki blah blah zenu tenaCHADEMA wana kazi kubwa ya kumsafisha Lowasa. Wakati wanafanya hivyo, CCM itakuwa inanadi sera zake. Kumbuka mpaka wanazindua kampeni kesho, hawajawa na ilani ambayo wataitumia kuomba kura kwa wananchi. Kwa sasa wamepanic na wanatembelea nyota ya Lowasa ambaye kwa hakika amechoka sana
Lakini #Makene mukae mukijua kua wengi wa wananchi wanaipenda ukawa.
Ufisadi itakuwa moja ya agenda kubwa ambazo CHADEMA na mgombea urais wake na mgombea mwenza, wabunge na madiwani, watazizungumzia kuhitimisha utawala wa CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kila kitu unachogusa ndani ya nchi hii chini ya utawala wa CCM ni agenda. Wananchi wanaelewa ndiyo maana wanaunga mkono mabadiliko kwa nguvu zote, linawaka au inanyesha, usiku au mchana.
Ufisadi itakuwa moja ya agenda kubwa ambazo CHADEMA na mgombea urais wake na mgombea mwenza, wabunge na madiwani, watazizungumzia kuhitimisha utawala wa CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kila kitu unachogusa ndani ya nchi hii chini ya utawala wa CCM ni agenda. Wananchi wanaelewa ndiyo maana wanaunga mkono mabadiliko kwa nguvu zote, linawaka au inanyesha, usiku au mchana.
Hakuna asie jua kua kilicho ipandisha CDM na kufikia hapa ilipo ni kashfa za ufisadi. Walituimbia Ufisadi 2005 wananchi hatukuwaelewa vizuri.
Wakatuimbia tena wimbo huu 2010 wananchi tukawasikia na kuipenda nyimbo yao hiyo iliyo chini ya waimbaji mahiri kama Zito kabwe na Dr. Slaa, chini ya muandaaji wao Mbowe.
Leo ni 2015 wimbo huo umechuja na haunogi tena.
Kwanza waimbaji wale wametoswa na muandaaji /mwenye bendi. Yani wameonekana sauti zao hazifai tena kuimba wimbo ule.
Alicho fanya mwenye bendi ni kumchukua yule alie beba jina la wimbo na kumpa bendi atunge chochote awezacho.
Swali langu je CDM watakuja na song gani litakalo bamba kampeni hii!?
Lakini #Makene mukae mukijua kua wengi wa wananchi wanaipenda ukawa.
Lakini wengi wa wapiga kura tunajua kua Matatizo yetu kama taifa hayasababishwi na CCM kama chama, bali yana sababishwa na CCM kama mfumo.
Yani kwa kifupi tatizo letu sio kubadili chama hau mtu. Tatizo letu ni mfumo uliopo. Sasa Lowasa ni sehem ya mfumo huo. Mikataba mibovu iliyo chafua taswira ya CCM na Taifa kwa ujumla, mingi yao ime sign niwa na Lowasa ambae unamtetea. Sasa je hapo tunabadili nini?
Me nadhani song lenu hilo la Ufisadi lisha chuja kabla ya uchaguzi. Na kwahakika Lowasa hana sauti nzuri ya kuimba Ufisadi. Ata mweka nani kama mhusika mkuu!?
Ccm Imeshazindua ilani yake. Hiyo ndiyo itakayotumika wakati wa kuwanadi wagombea wake kwa wananchi. Haya nyie Team Mafisadi mtakuja na swaga gani?
This time around wamebamba!.Hakuna asie jua kua kilicho ipandisha CDM na kufikia hapa ilipo ni kashfa za ufisadi. Walituimbia Ufisadi 2005 wananchi hatukuwaelewa vizuri.
Wakatuimbia tena wimbo huu 2010 wananchi tukawasikia na kuipenda nyimbo yao hiyo iliyo chini ya waimbaji mahiri kama Zito kabwe na Dr. Slaa, chini ya muandaaji wao Mbowe.
Leo ni 2015 wimbo huo umechuja na haunogi tena.
Kwanza waimbaji wale wametoswa na muandaaji /mwenye bendi. Yani wameonekana sauti zao hazifai tena kuimba wimbo ule.
Alicho fanya mwenye bendi ni kumchukua yule alie beba jina la wimbo na kumpa bendi atunge chochote awezacho.
Swali langu je CDM watakuja na song gani litakalo bamba kampeni hii!?
Mkuu Madam Mwajuma , kwavile watu tumetofautiana uoni, vision, ukitokea wewe una uoni mkubwa, unaona mtu fulani ni janga, lakini kuna watu wa kwenu, wanamshabikia bila kujua ni janga, jee utawaacha tuu wachume janga, au angalau utawaonya na kuwapa angalizo kuwa huyo mnaemshabikia ni janga, mkimchagua ni sawa na mchuma janga, au utawaacha tuu wamchague wampendaye kwasababu ni haki yao ya kidemokrasia kumchagua yoyote wanayempenda hata kama ni janga?, na unajua kabisa mchuma janga hula na wakwao?.Ujue mambo ya kuchagua wanasiasa yana sababu nyingi: mapenzi tu yale yasiyo na sababu kwa mgombea, kumchagua tu ili mwingine asishinde, kupima uwezo wake, kuzingatia mahitaji ya nchi kwa wakati huo ama kupima mahitaji binafsi. Wacha wajigaragaze wachague wampendaye ni haki ya kila mtanzania.
" mchuma janga hula na nduguze"