Hivi Chadema wametuma salamu za rambirambi Zimbabwe kufuatia kifo cha mstaafu Robert Mugabe?

Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
Unaelekea kuchukua Gold medal ya "MADA ZA HOVYO 2019".
Sio vibaya kupata ushindi maishani hata kwa mambo ya kijinga.
 
Back
Top Bottom