Hivi Chadema wametuma salamu za rambirambi Zimbabwe kufuatia kifo cha mstaafu Robert Mugabe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
45,126
2,000
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
11,932

Kwa kipi cha maana alichofanya Mugabe? Wazungu walimpa nchi yenye maziwa na asali. Yeye kawaachia waZimbabwe nchi ya ndimu na mbilimbi
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,458
2,000
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
Chadema mnaiwaza sasa mkuu
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,092
2,000
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
ZAIDI YA SERIKALI KUTUMA RAMBIRAMBI, KUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOKWISHA TUMA?
 
chikanu chikali

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
1,076
2,000
T
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
Tulituma kwa Morgan wa upinzani kwan ZANU pf ni sawa na ccm hayatuhusu
 
BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,206
2,000
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
Mugabe wa CHADEMA bado anajipanga!
Atatuma salaam bila shaka.
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,940
2,000
Nimejiuliza hili swali baada ya kusikia kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya mh Raila Odinga akituma salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini humo.

Nadhani chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania yaani Chadema watakuwa wametuma salamu na kama bado basi si vibaya wakajifunza kwa wenzao wa Kenya.

Ni katika kukumbushana tu
Maendeleo hayana vyama!
Haya majamaa yana roho mbaya sana.
 
Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,604
2,000
Lugola ameruhusu? Si watakuwa wanafanya siasa kinyume na katazo? Mh rais kashatoa inatosha n yuke ni kiongozi wa kiSerikali sio kichama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom