Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

Hii uhuni wote tuliutegemea na tulijipanga mapema. Ushahidi ukikamilika mtajua hamjui.

Ila pigo la kwanza atakalopata magufuli ni kutokutambulika kimataifa kama Rais wa Tanzania. Hii ni step yakwanza na mengine yaja.
 
Back
Top Bottom