Hivi chadema ni Chama cha Siasa au Genge la Wapashikuna?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la Kuku tu?
 
Walishabaki magaidi wa siasa tu ndani ya chama mfu chadema. Na kibaya CCM iliwapelekesha sana chini ya Nape na sasa CCM inadunda mwendo wa Polepole kuelekea kuibuka na ushindi wa kishindo 2020! Hongera sana Mwenyekiti wetu kwa kutuletea Mh. Polepole ili ainadi CCM kwa utaratibu kabisa kuelekea ushindi wa kishindo 2020, 2025, 2030, 2035, 2040, 2045, 2050, 2055, 2060, 2065 ................ infinity
 
Kuna kila dalili huna cha kuonyesha ama kusifia kwa hiyo umeamua kuja na hoja ya matusi na jazba. Wapi kuna tamko rasmi la chama kuthibitisha hizo kashfa zako? Hivi umekosa kabisa kitu cha maendeleo cha kuwanyamizisha hao wenye mtazamo kinzani mpaka kuamua kubeba maoni ya wenye fake ID humu jukwaani na kusema ni cdm? Naomba nikuulize unayamudu matusi watu wakumwagie mpaka.ubadilishe id?
 
Walishabaki magaidi wa siasa tu ndani ya chama mfu chadema. Na kibaya CCM iliwapelekesha sana chini ya Nape na sasa CCM inadunda mwendo wa Polepole kuelekea kuibuka na ushindi wa kishindo 2020! Hongera sana Mwenyekiti wetu kwa kutuletea Mh. Polepole ili ainadi CCM kwa utaratibu kabisa kuelekea ushindi wa kishindo 2020, 2025, 2030, 2035, 2040, 2045, 2050, 2055, 2060, 2065 ................ infinity
Mbona na nyie mataahira wa buku7 kutwa kucha mko hapa kutukana Chadema na viongozi wake? Heshima ni kuheshimiana. Kama Chadema ni cha mapashkuna basi na ccm ni cha mataahira.
 
Walishabaki magaidi wa siasa tu ndani ya chama mfu chadema. Na kibaya CCM iliwapelekesha sana chini ya Nape na sasa CCM inadunda mwendo wa Polepole kuelekea kuibuka na ushindi wa kishindo 2020! Hongera sana Mwenyekiti wetu kwa kutuletea Mh. Polepole ili ainadi CCM kwa utaratibu kabisa kuelekea ushindi wa kishindo 2020, 2025, 2030, 2035, 2040, 2045, 2050, 2055, 2060, 2065 ................ infinity
Ndoto za mchana
 
Utumwa unadhalilisha sana ! Kwahiyo kumbe ni kweli kwamba msipoandika hata utumbo hamlipwi ?

VUTA NKUVUTE , mnavyowafanyia hawa vijana ni udhalilishaji .
 
Mental illnesses are so frightening and there's so much ignorance about them that I think it comforts people to think, 'Oh, well, it happens to these people because they deserve it.
Nyie maccm someni hii muelewe.Na mwelewesheni na meenyekiti wenu maana mwaweza shindwa kuelewa.
"Solid majority wakubwa ninyi"
 
Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.
Martin Luther King Jr.
 
Sikio la kufa.......
hata mkiambiwa mipango mizuri hamtakubali kwa vile inasemwa na kina flan, mahaba yanawatia upofu, ububu na uziwi hata kwa mambo ambayo hayahitaji akili kubwa kuyang'amua! Penda kiasi, sifia kiasi na kosoa panapohitajika sio unakubali kila kitu kama kabuli! Hakuna aliyekamilika chini ya mbingu, ukikosolewa jitathmini sio wote wanaokosoa kwamba hawakupendi wengine wanakuwa na nia ya dhati kukusaidia
 
Kinacho kusumbua ni ukanda ukanda na kusaka cheo ambacho hakiji. Tibu kwanza majeraha uliyonayo moyoni na kwingineko siyo kosa lao wala letu hauwaminiki
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la kuku tu?
 
Sikio la kufa.......
hata mkiambiwa mipango mizuri hamtakubali kwa vile inasemwa na kina flan, mahaba yanawatia upofu, ububu na uziwi hata kwa mambo ambayo hayahitaji akili kubwa kuyang'amua! Penda kiasi, sifia kiasi na kosoa panapohitajika sio unakubali kila kitu kama kabuli! Hakuna aliyekamilika chini ya mbingu, ukikosolewa jitathmini sio wote wanaokosoa kwamba hawakupendi wengine wanakuwa na nia ya dhati kukusaidia
Mna mipango gani mizuri enyi wanafiki wa nchi hii
 
Back
Top Bottom