Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,871
Chama kinacholelewa na mtu mmoja kinaogopwa kwenye uchaguzi !Tumia akili; hoja ni kwamba, chama kama taasisi kinalelewa na mtu binafsi. Kwa maana nyingine, mtu anakuwa na nguvu kuliko taasisi. Sasa wewe unasema CCM kinalelewa na polisi; hata hivyo unachosema hakina ukweli. Hata kingekuwa kweli, polisi ni taasisi na sio mtu binafsi, hivyo tumia mifano inayorandana na hoja.