Hivi CHADEMA Kinondoni Hawakua na Mzawa mwenye Vigezo hadi wakavuka bahari?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
 
Kwikwikwi
 
Mleta uzi kama ndio hivyo mlikuwa na haja gani ya kuiba kura, kuteka, kutesa na kuua watu!
Kuna siku ile risasi iliyomuua Aqulina itagusa moyo wako au wa mtu wako wa karibu na huo ndio utakuwa mwisho wako kushabikia mambo ya kipumbavu.
 
Ushindi ni ushindi tu hata kwa kumwaga Damu za Watu ..

CCM Hoyeeeeee....
 
Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
Mbona kuna tetesi magu ni mnyarwanda...
 
Kigezo kilichotumika kumchagu Sallum Mwalimu ni dini yake, kuwa wana Kinondoni watamchagua sababu ni mwenzao kama ilivyokuwa kwa Mtulia, wakidhani alipokuwa CUF alibebwa na dini yake.
 
Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
Unajua mambo mengine huwa unawaza na kuandika ujinga sana sijui kwa faida ya nani? Mbona mnajiabisha hivi? Mnabagua watu ambao kila siku wakidai nchi yao mmawakatalia? Hussein mwinyi alikuwa mbunge wa mkuranga leo ni nani kule zanzibar? Alishawahi kukaa zanzibar? Makamu wa raisi alizaliwa bara? Prf mbarawa ni mtu wa bara? Mzee lubuva alishawahi kuwa mwanasheria mkuu wa znbar kina brigedia mwakanjuki . Wewe acha kujitia vidole.mwenye ili usikie harufu ya mavi yako .mwambie shaka akuelekeze wakina SALEHE MPELELEMBO.Yule aliyemua shaka huko tanga wapo wengi tu mkuu
 
Dah....mtarukaruka sana...lakini mwisho wa siku mtamuelewa tu Dr KUB alikuwa na maana gani..
 
Back
Top Bottom