Hivi chadema haiwezi kuendeshwa bila maandamano na fujo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi chadema haiwezi kuendeshwa bila maandamano na fujo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Sep 3, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  nimefikilia sana na nimejiuliza why kila siku ni CHADEMA , CHADEMA....... mgomo wa madaktari CHADEMA , mgomo wa walimu CHADEMA ,ulimboka CHADEMA , kifo cha muuza magazeti CHADEMA , kifo cha mwandishi wa habari CHADEMA .kukataa kutii amri halali za nchi (POLISI) CHADEMA. hivi huwezi kudai hiyo madai au haki yeyote bila kuwa na vurugu? huwezi kufungua tawi bila vurugu au maandamano isitoshe umeambiwa usubiri ili kupisha sensa hutaki.... sasa mnataka nini..... au kama ndio chama cha upinzani kwani kipo CHADEMA peke yake ????? au ndio kama alivyoahidi baada ya kushindwa kuupata uraisi huyo dokta SLAA kuwa nchi hii haitatawalika . (na mwisho najiuliza hivi je MWANDISHI wa HABARI tena wa PART TIME ...... anayo ruhusa ya kupinga amri halali ya jeshi la POLISI)
   
 2. D

  DNA Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hauitendei haki elimu yako kabisa! Inasikitisha sana unapoleta ushabiki wa vyama kwenye mambo ambayo hayana uhusiano na siasa. Madaktari walipogoma hawakuwa na uhusiano na siasa kama utabisha ntakuacha kabisa kwa sababu hauwezi kuelewa kwanini nakuambia hivyo and i will not waste my time trying to convince you! Kwa hili la kufa mwandishi halina connection kabisa na siasa. U have to know bila waandishi wa habari usingejua huyo mwandishi ameuwawa, usingejua kitu gani kinatakea around the world my friend. Waandishi wa habari wanalindwa na sheria za nchi zote kutafuta na kupata habari, but only cruel people hawaelewi wanaua, wana kidnapp na kutesa waandishi wa habari. Let us call Dog a dog and Monkey a monkey.
   
 3. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  DNA akili mgando ni kwa sababu ya ujinga wa kuendeshwa na ccm *^%&*() zako!
   
 4. D

  DNA Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakushangaa! unanitukana....ungejua mimi hao magamba sina kabisa time nao.... Be wise brother. Read between the lines. I am a doctor by profession. Nakuambia wakati madaktari wanagoma hamna chama cha siasa kimehusika, i think the same applies to the death of that innocent civilian. Nakushangaa unapotumia profanity kuongea bila kufikiria,please naomba usitumie matusi kwangu. What happened was cold blooded killing... kama umesoma vizuri comment yangu utaelewa.. otherwise i will let you be!
   
 5. M

  Mchaga HD Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tanzania bado hatujaweza kutumia huduma za mobile services,espcl via internet.
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Si bora hata angekuwa na hiyo elimu yenyewe?
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaweza kuendeshwa bila fujo iwapo watawala wataacha kuikandamiza inapodfanya kazi zake za kisiasa kwa mujibu wa sheria
   
 8. a

  arinaswi Senior Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio CHADEMA inayofanya fujo ni jeshi la polisi ndilo linalofanya vurugu katika mikutano ya CHADEMA. Wanaorusha mabomu na kufyatua risasi ni mapolisi na sio wanachama wala viongozi wa CHADEMA. Mbona mambo mengine yako peupe rafiki yangu??? Nalo mpaka uingie darasani ulielewe jamani. Fungua macho tu utaelewa!
   
 9. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,848
  Likes Received: 4,221
  Trophy Points: 280
  Na je polisi hawawezi kutuliza raia bila kuua?
   
 10. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tatizo hakuna aliyejibu hoja as mnavyojiita great thinker. Nimeuliza hivi huwezi kufungua tawi la chama chako bila maandamano, mkusanyiko au vurugu? Sheria inakutaka uombe kibali unapotaka kufanya maandamano au mkusanyiko . Wewe hujaomba na unafanya mkusanyiko wako bila kibali. Sasa hapo si umevunja sheria. Polisi inakuonya hutaki. Inakufukuza pia hutaki. Sasa unataka wafanyaje? Au basi tuamue kitu kimoja tuwe hatuna jeshi la polisi wala serikali tuwe kama somalia? Kuna wengine wanapenda maandamano na wengine hawapendi. Kwenye mkusanyiko lolote linaweza kutokea kuna kuibiana , kuvunjika kwa amani, vifo etc. Na madhara yeyote yakitokea wa kwanza kulaumiwa ni polisi. Sasa kwanini tusitii amri ya polisi?
   
 11. gody

  gody JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kufungua tawi la chama kuna SENSA ila kufanya FIESTA mwanza na sehemu zngine OK!!!
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Ni kama riadha tu.......huwezi kukwepa kumsikia USSAIN BOLT

  [​IMG]
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwani ktk ufunguzi wa tawi lile walifanya vurugu yeyote ile? kwa mfano polisi wasingekwenda pale je kuna mtu angekufa? hivi hiyo FIESTA haizuu sensa? tuache kuwa ni watu wa kuona upande mmoja tu.kiukweli polisi hawakustahili kumlipuwa mwandishi anayetumia camera kukusanya habari na hakuwa na siraha yeyote ile,hatuwezi kutoa lawama kwa chama chochote kile,ni wakati sasa polisi kutumia busara kama wafanyavyo polisi wa nchi za wenzetu,tunaona ktk tv kila siku maandamano lakini wenzetu hawatumii nguvu kubwa hadi ya kuuwa raia,nadhani ukiacha hapa kwetu SA nao wanafuata kwa ukatili
   
 14. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwan fiesta inaanza saa ngap na maandamano ya chadema inaanza saa ngap
   
 15. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mi nashindwa kuelewa jaman kidogo.kwan upinzani ndio uasi?
   
 16. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kuna kitu watu hamjaelewa.tulioelewa tumekaa kimya kuangalia tu hii picha inavyokwenda.chadema sio tena chama cha siasa kwa sasa ni WAASI wa tanaznia
   
 17. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  hivi ule mkutano wa pili uliofanyaika Arusha Unga ltd ambao hata polisi hawakuja kutoa ulinzi palitokea fujo yeyote au mauaji ?
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ngoja nikusaide kushangaa
   
 19. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  YASER PLUUS KUPE I CAN SEE NOW "MASABURI YENU YAPO KAZINI" THINKIN HARD AS HELL.... poleni sana na mnaloooooooo mpaka tutie maguu plot # 1 block # 1 ....i guess you know wara mini....PEOPLEEEEZZZ PAWAAAAAAAA...M4C mpaka kieleweke.
   
 20. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,551
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Ukipata tathimini ya Haraka ni kwamba... Tukio la mauaji halina Connection na Siasa...??
  kwa kujiuliza Je marehemu alikuwa chama gani... na je Wauaji wapo chama gani au wanafanya kazi chini ya Utawala wa chama gani... ? then jiulize mauaji mengi yanatokea lakini hayausishwi na siasa kwa nini hili liwe hivi, Je hili mbona linatumiwa kama Promo kwa Baadhi ya Vyama vya siasa kama vile ni jambo jema.

  wana jf baadhi tuache ushabiki wa gwanda na magamba....
  Tukio limetokea wakati wa movement za uhamasishaji za CDM, Waliofanya makosa wapo kwa kuwa ni kosa la jinai limefanyika.... ivyo tusubiri taarifa ya kamati japo naanza kupata wasiwasi kwa baadhi ya watu kuangalia mambo madogo sana et.. marehemu alikuwa kibarua au Mwajiliwa, na amini hilo si jambo la ku judge vitu ambavyo haviusiani na sababu ya mauaji kwa sasa tuangalie ni hatua zipi zitachukuliwa kwa waliosababsha mauaji hayo... Wana jf angalieni realistic
   
Loading...