Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Alafu mbali na kumaliza kusoma ilani nimeirudia mara nyingi tu. Hii imeandikwa kama ya sisi m vile, nimeshindwa kuisoma vizuri ingawa naendelea kuisoma kwa shida. Sijui aliiandika Makamba?Mkuu MF
Kama umeshindwa kuisoma yote, nini sababu ya msingi ya kukoti jamvi lote hilo? Si ungeandika tu kwamba umeshindwa kusoma? Kajamvi haka kanakutia uvivu wa kusoma? Vipi umeshamaliza kusoma sera na ilani ya Chadema?