Hivi CCTV Africa Haioni habari za Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CCTV Africa Haioni habari za Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 30, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wana JF

  Ni muda sasa tangu CCTV News ya china kuanzisha CCTV Africa ambayo makao makuu yake yapo Kenya,kituo hiki matangazo yake huanza saa mbili ya EA,Lakini chakushangaza tangu wameanza kurusha habari zao sijawahi ona wakitoa ama kutangaza habari za Tanzania,zaidi ya kutangaza habari za kenya,uganda,sudan,burundi,SA

  Na kama utaona habari ya tanzania ujue ni kuhusu biashara tena upande wa madini.

  nasema hivi kwa sababu kituo hiki ni cha KIMATAIFA kwa hiyo inawia rahisi sana kwa nchi husika kujitangaza,kama tunahitaji kulipia habari hizo basi ni vyema watanzania wanaotaka habari zifike mbari zaidi kuwasiliana na hawa watangazji wa kenya ili hata habari za tanzania tuwe tunaziona kupitia hii CCTV AFRIKA

  nawasilisha
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Nadhani kituo cha Afrika kiko Nairobi, na usitegemee Kenya watangaze mambo ya Tanzania!
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,777
  Likes Received: 8,346
  Trophy Points: 280
  Cnn nadhani mara ya mwisho kuionesha Tanzania ilikuwa ni ziara ya Bush, nchi hii hata kujipigia promo ni shida!!
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 20,506
  Likes Received: 11,768
  Trophy Points: 280
  Sio cctv tu hata mimi nishajiuliza hii nchi yetu imekosa nn?haitangazwi hata na tv channel za africa!
   
 5. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 612
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Hakuna habari zenye mashiko Tanzania. Bongo kwanza hakuna touching economic or sports news. Hizo za siasa magamba wanabana zisitangazwe
   
 6. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,040
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Tanzania Hawavumi lakini wamo.
  Tanzania wa hapahapa tu
  Tanzania Fagilia vya wageni
   
 7. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Mtamkubali waziri wa ulinzi wa Israel alipoilinganisha TANZANIA na TREPOLANIA....So watutangaze kwa lipi ata ktk mahojiano or interviews hua wanaoonekana ni viongozi wa KENYA....Anyway guys may be watatangaza hii '' TANZANIAN PRESDENT RESHUFFLES HIS CABINET AFTER MASSIVE SCANDAL OF CORRUPTION OF HIS TRUSTEE MINISTERS....wait n see
   
 8. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2016
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 819
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  duuh mweeeeeeeeehhh
   
Loading...