Hivi CCM wataweza kuufuata ushauri watakaopewa na mjumbe wa chama cha Kikomunist waliyemualika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CCM wataweza kuufuata ushauri watakaopewa na mjumbe wa chama cha Kikomunist waliyemualika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by everybody, Nov 11, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimesoma habari kwamba CCM imemwalika mjumbe wa kamati kuu yal chama cha Kikomunisti cha China na ameshawasili nchini. Kwa sasa najiuliza hivi kweli kwa hali ilivyo ndani ya CCM na ufisadi unaoendelea katika serikali yake wamejiandaa kweli kusikiliza ushauri wowote wa huyu bwana wa Kikomunisti? Wasije wakawa wanampotezea tu muda huyu mkomunisti wa watu kumfanya apate hasira kwa jinsi mabwana wakubwa wanavyotafuna hela ya nchi bila kujali wanyonge wa nchi.
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ukomunist na usocialist wa china sisi hatuuwezi. wenzetu wanasema wanafanya kitu kinaitwa "socialism by conflict", mfano ukiiba mali ya umma mathalani umeiba fedha ya serkalina ukapatikana adhabu yako ni kifo. Ishu kama za EPA, RICHMOND , KAGODA n.k tungekuwa tumezika wengi
   
 3. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo hichi ambacho nina mashaka nacho. Unapomwalika mtu ina maana kuna baadhi ya vitu umevipenda kutoka kwa huyo mtu na ungetaka kujifunza. Sasa CCM kama wameshindwa kusimamia mali za umma kwanini wanataka kumpotezea muda huyu mkomunist wa watu.
   
Loading...