Hivi CCM wana ushirika na huyu mnyama?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,200
12,691
Kwanza kuna wimbo wanaimba Hyena hyena CCM nambari wani.

Pili kwenye ziara zao walimtumia sana hasa ziara za kanda ya ziwa.
Tatu, watu huwaita fisiemu nk.

Kuna uhusiano gani?

JamiiForums-195834096.jpg
 
Back
Top Bottom