Hivi CCM wameshatoa tamko gani kwa huyu mwanachama?

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,272
7,870
Hivi com wameshatoa tamko gani kwa huyu mbunge aliyekamatwa na silaha lukuki , au hivi vitendo ni vya kawaida ndani ya ccm, Kama kwel ccm ni chama makini kuna ulazima Wa ccm kumchukulia hatua za kichama huyu mbunge LA sivyo ataendelea kuongeza mokombokombo ndani ya chama. Nilitegemea mpaka sasa hivi spika ndugai au msemaji Wa chama bwana pole pole awe ameshaongea kitu
FB_IMG_1589284754947.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba weka kumbukumbu vizuri baada ya mwaka mmoja uliza kesi ilipofikia.
Kesi amhazo zimewahi wekewa mihemko juu ya sisiemum ni nyingi ila zilipo ishia ni basi tuuu mengine tunayaacha
 
Back
Top Bottom